Tahadhari kwa Simba: Red Arrow imewahi kuipiga timu ya Tanzania 7-0

Gordian Anduru

JF-Expert Member
Apr 16, 2021
335
661
Nawasalimu kwa Jina la jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.

Mwaka 2009 katika kombe hili hili lla shirikisho Timu inayoitwa Mundu SC kutoka TANZANIA visiwani ilikung'utwa bao 6-0 katika first leg na kumaliziwa 1-0 na hivyo kupasuka jumla ya goli 7-0.

Katika Droo iliyotoka hivi karibuni watanzania wenzao na Mundu yaani Simba SC wamepangwa na Red Arrow

Source: 2009 CAF Confederation Cup - Wikipedia

redarrow.jpg
 
Ukianza kuleta historia ndo unapotea kabisa mara nyingi timu za zambia huwa hazitoki kwa Simba
 
Mungu isaidie Red Arrow iwachape Makolo goli 10 bila ili akili zao za kimbumbumbu zikae sawa
 
Nawasalimu kwa Jina la jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.

Mwaka 2009 katika kombe hili hili lla shirikisho Timu inayoitwa Mundu SC kutoka TANZANIA visiwani ilikung'utwa bao 6-0 katika first leg na kumaliziwa 1-0 na hivyo kupasuka jumla ya goli 7-0...
Kuna mtz mwingine hapo juu kala 6
 
Nawasalimu kwa Jina la jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.

Mwaka 2009 katika kombe hili hili lla shirikisho Timu inayoitwa Mundu SC kutoka TANZANIA visiwani ilikung'utwa bao 6-0 katika first leg na kumaliziwa 1-0 na hivyo kupasuka jumla ya goli 7-0...
We jamaa hamnazo kabisa, yaani hata rangi ya Bendera yako huifahamu? Achilia mbali kujua kama kuna Timu ilikuwa/inaitwa Mundu miaka ya 2000s
 
Nawasalimu kwa Jina la jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.

Mwaka 2009 katika kombe hili hili lla shirikisho Timu inayoitwa Mundu SC kutoka TANZANIA visiwani ilikung'utwa bao 6-0 katika first leg na kumaliziwa 1-0 na hivyo kupasuka jumla ya goli 7-0...

Inabidi watunyeshee tena na sisi ili tuendelee kujua panapovuja maana kumfukuza Mzungu aliyewapeleka 1/4 final CAF na kumuacha Mrundi ni kuairisha tatizo. Safari hii Red arrow wataleta balaa kubwa kuliko lile la Galaxy
 
Back
Top Bottom