Wewe ndo una masheteni....Mkuu wa mkoa analindwa na damu ya Yesu KristuOna aina ya mkuu was mkoa mliyekuwa naye anaabudu mapepo. Itakuwa kazi kubwa kuileta Tanzania ya viwanda. Mkuu was mkoa mwenye mashetani! Choka mbaya.
Ha..haa viongozi wa dini hawakuwa msaada kwake ameenda masafa kutafuta nguvu ya ziadaKoromije yupo wapi?
kikiki ninataka hawa watu wawe kituoni mpaka uchunguzi ukamilike ooh mara watu wakija dar kutoka mikoani nitawarudisha na ndala zao............. utajua tuu jitu halijaendashule sawasawaa hata elimu tu ya dunia halina ubaguzi[/QUOT
Hatari sana,alifikia kiwango Cha mwisho kabisa cha Kiburi, ati anamtuhumu Kamanda Siro kuwa kachukua Milioni 50 za Shisha mbele ya Waziri Mkuu, maana ni Kwamba alitaka huyu Kamanda wetu anayetulinda usiku na mchana afukuzwe, Dah!
Kweli una Roho Saba Kama paka, yaani bado una MatumainiWewe ndo una masheteni....Mkuu wa mkoa analindwa na damu ya Yesu Kristu
Nasema kwa atakayekuja mpya, USHAMBA AUACHE HUKO HUKO.. Hili ni Jiji la biashara huwezi kulazimisha watu wazima waishi Kama mnavyoishi kijini kwenu huko.Ahaaa dar yetu hatutaki kiongoz asiye na wered
Ilikuwaje mpaka mseme jini alilorushiwa linamtaka abaki uongozini? Watu wa dar mna vituko visivyoisha. Kumbe mnaongozwa na majini badala ya watu! Lazima muwe na vitukoWewe ndo una masheteni....Mkuu wa mkoa analindwa na damu ya Yesu Kristu
Hatumtetei mkuu,tunamuhurumia adhabu aliyopata ni kubwa mno!!Halafu kuna watu wanamtetea....aisee hii dunia huwezikosa wafuasi hata uwe mla nyeti za watu
Kama wewe unavyoonyesha wivu kwa wachaga!!!Unastahili tuzo ya wivu, roho mbaya, uchawi, uchagga na majungu. Hilo jungu ni la kiboroloni kabisa
Niwaonee wivu kwa unywaji wa mbege labdaKama wewe unavyoonyesha wivu kwa wachaga!!!
Yesu yupi anaelinda majina fake?labda wa koromije!Wewe ndo una masheteni....Mkuu wa mkoa analindwa na damu ya Yesu Kristu
Adhabu ipi mkuu...wakati mtu anakula bata kwa madiba huku masogange aki-twerkHatumtetei mkuu,tunamuhurumia adhabu aliyopata ni kubwa mno!!
Daudu ni mkuu wa mkoa wa KolomideMkuu wa mkoa ni Makonda hadi 2025.
Au hujasikia lile pepo lilivyosema mkuu haingiliki?
Hana amani kabisa rohoni japo anajikakamua usoni pa watu,anaweza akànguka ghafla na kupata stroke kama si kufariki achana na msongo mkuu hiyo ni adhabu mubashara bila chengaAdhabu ipi mkuu...wakati mtu anakula bata kwa madiba huku masogange aki-twerk
Paul Makonda hakuwahi kuwa Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam,Mkuu wa mkoa ni Makonda hadi 2025.
Au hujasikia lile pepo lilivyosema mkuu haingiliki?
Sasa kwanini hukumshauri hivyo Bw.Bashite? Mpaka amekimbia nchi?Mimi Nikichaguliwa tuu Naweka Vyeti vyangu Mitandaoni cha Kuzaliwa, Darasa la 7, Form Four, Form Six, Degree, Postgraduate na Masters halafu na deal na Wauza Unga kama Kawaida.
Hahahaa, usinikumbushe alivyomtukana Yule Mama yake mbele ya kadamnasi, ati akamwita kichaa, duh, Kweli adhabu ni hapa hapa Duniani. Jamaa alikuwa Kama kapagawa vile, kumbe Tatizo ni Elimu ilikuwa ndogo.Hana amani kabisa rohoni japo anajikakamua usoni pa watu,anaweza akànguka ghafla na kupata stroke kama si kufariki achana na msongo mkuu hiyo ni adhabu mubashara bila chenga