Yeyote atakayeteuliwa kuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam naomba awe makini sana. Cha kwanza kabisa, Kama ni Mshamba, Ushamba wake auache huko huko,
Usijaribu kufanya mambo kwa pupa. Na kabla ya kufanya chochote, kwanza Tengua amri zote zilizowekwa na na huyu Aliyetoroka,
Lazima uwe na uelewa mpana sana kuhusu biashara na Kama Huna hakika basi tafuta wataalam wanaojua ili wakushauri vizuri. Ikiwezekana tafuta washauri wazuri hata nje ya Tanzania
Lazima ujue historia. Hii itakusaidia sana kujua wenzako walipokosea ili wewe ufanye vizuri. Jali watu, weka mazingira rafiki ya kufanya biashara, watu wafanye biashara halali kwa uhuru, usiwe Kama Yule Mshamba anayewapangia watu wazima muda wa kulala na kuamka,
Tumia jeshi la polisi kwa manufaa na usalama wa Raia, usiwe Kama Yule Mshamba aliyetaka kulitumia kunyanyasa na kupiga watu kwa amri zake za kishamba, Kumbuka Serikali inategemea kodi za Raia, ni Jukumu lako kuhakikisha Raia na wafanyabiashara wanalindwa kwa kiwango cha Juu na Polisi, kwa sababu bila hao Raia kulipa kodi Polisi hawawezi kupata mishahara.
Hakikisha biashara Dar zinafanyika Muda wote, Usiku na Mchana, na kila anayefanya biashara Ana uhakika wa Ulinzi, polisi watoke vituoni wakae mitaani kuimarisha ulinzi
Una uwezo wa kuigeuza Dar ikafanana na Hong Kong kwa kipindi kifupi sana. Ila nakuomba kitu kimoja ukizingatie.USHAMBA WAKO UACHE HUKO HUKO