Tahadhari kwa Mkuu wa Mkoa utakayeteuliwa

Mtaongea sana lkn mkuu wa mkoa ni paul makonda nyie jichetueni tu
 
Jiji bado la Makonda ataendelea kuwanyoosha hadi 2025 nakuendelea huyu jamaa analiweza sana km Arsen Wenger pale Arsenal
 
Kweli anaweza kwa Misifa lakini siyo kitaaluma, Kwanza Kaa ujue. akiingia tu Airport Siro anamkamata. Ana kesi ya kujibu.
 
Jiji bado la Makonda ataendelea kuwanyoosha hadi 2025 nakuendelea huyu jamaa analiweza sana km Arsen Wenger pale Arsenal
Hili nalo neno hakuna atakaeweza hili jiji zaidi ya Makonda kipenzi cha watu watakaa kusubiri mabadiliko ya wakuu wa mikoa... nakwambia watakaa sana tuu
 
Hahahaa, usinikumbushe alivyomtukana Yule Mama yake mbele ya kadamnasi, ati akamwita kichaa, duh, Kweli adhabu ni hapa hapa Duniani. Jamaa alikuwa Kama kapagawa vile, kumbe Tatizo ni Elimu ilikuwa ndogo.
Watu wenye vyeti fake ni wasumbufu sana hasa makazini,yaani MUNGU awasamehe mtu mkuu,mimi siwapendi bali nawaonea huruma kwani na cheti changu waliiba tena kikiwa bado kiko shuleni
 
Mkuu wa Mkoa yupo. Tutenganisheni pumba na mchele. Unaweza kuhoji kama kweli ana vyeti halali vya elimu au la, lakn huwezi kuanza kuwa mganga wa kienyeji na kumwondoa kwenye madaraka yake kama vile wewe ndiye uliyemteua.
 
Pole upo gizani, Dar inaongozwa na kaimu mkuu wa Mkoa.
 
Kaimu Mkuu wa Mkoa maana yake ya kwanza ni mtu anayeshika madaraka ya Mkuu wa Mkoa kwa muda (in absence ya Mkuu wa Mkoa). Sisi wakazi wa Dar tunajua Mkuu wa Mkoa wa Dar ni Paul C. Makonda (Whatever the other name you call him). Kumbe wewe huko uliko unajua Dar haina tena Mkuu wa Mkoa? tangu lini??? don't be a fool.
 
Fool is ur Father, nimezaliwa ocean wakati Gongo la mboto ipo wilaya ya kisarawe na Dar ni wilaya ya Mzizima kenge wewe.

Wewe na mambumbumbu wenzako kama Makonda mlikuja na mnaondoka na chupi mkononi, hata ukimuuliza Saigon iko wapi hajui wala mtaa w Indepence hajui.

Hili fundisho kwa Rais mkuu wa mkoa mpya atakayemtuwa asituletelee tena mlugaluga asiyejuwa hata kukunja chapati.
 
Ahsante Mkuu,Mchane bila Chenga, ati Yule Mkulima anataka kutupangia mpaka muda wa Kulala, anataka kila mtu aishi Kama wanavyoishi kijijini kwao,
 
Aende akalime shamba lake hukoo. Ni maneno Ya Mwalimu J.K Nyerere siyo maneno yangu
 
Fool is ur Father, nimezaliwa ocean wakati Gongo la mboto ipo wilaya ya kisarawe na Dar ni wilaya ya Mzizima kenge wewe.

Wewe na mambumbumbu wenzako kama Makonda mlikuja na mnaondoka na chupi mkononi, hata ukimuuliza Saigon iko wapi hajui wala mtaa w Indepence hajui.

Hili fundisho kwa Rais mkuu wa mkoa mpya atakayemtuwa asituletelee tena mlugaluga asiyejuwa hata kukunja chapati.
You don't need to say all that moron..
 
Yeyote atakayeteuliwa kuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam naomba awe makini sana. Cha kwanza kabisa, Kama ni Mshamba, Ushamba wake auache huko huko,

Usijaribu kufanya mambo kwa pupa. Na kabla ya kufanya chochote, kwanza Tengua amri zote zilizowekwa na na huyu Aliyetoroka,

Lazima uwe na uelewa mpana sana kuhusu biashara na Kama Huna hakika basi tafuta wataalam wanaojua ili wakushauri vizuri. Ikiwezekana tafuta washauri wazuri hata nje ya Tanzania

Lazima ujue historia. Hii itakusaidia sana kujua wenzako walipokosea ili wewe ufanye vizuri. Jali watu, weka mazingira rafiki ya kufanya biashara, watu wafanye biashara halali kwa uhuru, usiwe Kama Yule Mshamba anayewapangia watu wazima muda wa kulala na kuamka,

Tumia jeshi la polisi kwa manufaa na usalama wa Raia, usiwe Kama Yule Mshamba aliyetaka kulitumia kunyanyasa na kupiga watu kwa amri zake za kishamba, Kumbuka Serikali inategemea kodi za Raia, ni Jukumu lako kuhakikisha Raia na wafanyabiashara wanalindwa kwa kiwango cha Juu na Polisi, kwa sababu bila hao Raia kulipa kodi Polisi hawawezi kupata mishahara.

Hakikisha biashara Dar zinafanyika Muda wote, Usiku na Mchana, na kila anayefanya biashara Ana uhakika wa Ulinzi, polisi watoke vituoni wakae mitaani kuimarisha ulinzi

Una uwezo wa kuigeuza Dar ikafanana na Hong Kong kwa kipindi kifupi sana. Ila nakuomba kitu kimoja ukizingatie.USHAMBA WAKO UACHE HUKO HUKO
Umamaliza kila kitu, kama kutakua na mabadiliko katika uongozi wa Jiji.
 
Back
Top Bottom