akohi
JF-Expert Member
- Jul 13, 2012
- 788
- 524
TAHADHARI!
Kama unaendesha Gari mida ya Usiku, na ghafla ukaona Mayai (Eggs) yamerushwa na kupiga kwenye KiOO cha Gari yako cha mbele, tafadhari sana USISIMAME, Usiwashe WIPER na wala usimwage MAJI kwenye KIOO chako cha mbele.
Sababu Mayai na Maji hubadilika kuwa maziwa na kufanya kitendo hicho utazuia kabisa uwezo wako kuona MBELE kiasi cha kukulazimu kusimama na kusababisha KUVAMIWA na MAJAMBAZI.
Na Majambazi wakishakuvamia sihitaji kukueleza nini kinatokeaga.
Mshtue mwanzako, ni moja ya Mbinu mpya zitumikazo na WEZI.