Tahadhari kwa Kamati ya Ulinzi na Usalama wa Taifa

Tahadhari kwa Kamati ya Ulinzi na Usalama wa Taifa

Nadhani vitabu vya Mungu vilishamaliza kila kitu. Huwa kuna adhabu, tena si ya wanadamu ..hapana!

Ni adhabu ya Mungu. DHARAU na KIBURI ni makosa makubwa sana kwa mwenyezi Mungu. Watawala, isikieni sauti ya Mungu kabla hamjaliangamiza hili Taifa.

Haitaweza tena kuja kuwepo kitu kinaitwa Tanzania kama ilivyo leo, maana tunajua hila za majirani hasa Rwanda na Uganda. Hawa jamaa ni ndugu kiasili, marais wa hizo nchi ni kabila moja wale na wameoa familia moja ..wako united sana. Jihadharini sana na coaching zao, ipo siku mtajuta kuwajua.

Watawala, shikamaneni na wananchi wenu, ipendeni nchi yenu na muwe tayari kujishusha. Kwa Mungu kujishusha ni thwawabu lakini kujikweza ni adhabu ya MAUTI. Tubuni mliokoe hili Taifa mapema giza halijaingia
 
Haya ni mambo mazito sana na yanabeba ukweli kwa asilimia kubwa sana. Wasiwasi wangu ni juu ya uwezo wa mwandikiwa na waandikiwa wanaomzunguka kama wanaweza uona ukweli na hatari ijayo.

Hapa Museven tayari kashaanza kujitangazia umiliki wa mkoa fulani na madai ya access na bahari. Hapa huenda maana yake ni kunyoosha rula tokea Kagera hadi Tanga baharini, na mchongo unaonekana kutiki ndio maana ameanza mkwara mbuzi kwa washirika wake, COW wasijemuingilia mambo yatakapotiki.

Maridhiano yafanyike mara moja, mama Abdul ang'atuke au ang'atuliwe. Wazalendo walinde nchi yao waache kutumika kisiasa
 
Napenda haya yatokee Ili wale waliokua wanasema mitano tena tukione chamoto tukiwa pamoja na hao jwtz waonje uchungu waliopitia raia wasio na silaha kupigwa risasi ndani ya nchi Yao huku jeshi likikaa kama masanamu kuanzia tarehe 29 mpaka sasa uzuri wananchi tushazoea
 
Mmmh mbona mnatuogopesha sasa Mungu tuepushe na haya yote Amina
Mungu alishamaliza kazi yake na alipumzika kabisa. Kaweka dhamira/busara ndani yetu, kiburi kipo pia ndani yetu. Inategemea unatumia nini hapo kati ya busara au kiburi. Palestina walikuwa wakipiga kelele Allah Akbar, lakini waliendelea kuadhibiwa mpaka malengo ya mzayuni yalipotimia.
Kwenye hili la kwetu. Mama Tibaijuka alisema pale ud hakuna nchi iliyowahi kupata katiba mpya au tume huru ya uchaguzi bila machafuko.
Acha yatokee. Atakaye kufa atatambulika kama alipigania nchi. Atakaye baki aendeleze mapambao.
NA haya lazima yatokee.
 
Tuliandika report nyingi sana ila zinapuuzwa na hazifanyiwi kazi kabisaa
Ukweli TISS vijana kazi inafanyika Sana taarifa zinakusanywa za kutosha na kuchakatwa kwa kiwango kikubwa ila walaji wa taarifa ndio hawawezi kufanya maamuzi wapo wapo tu wapumbavu.

Hii report ya mtoa mada ipo mezani Ikulu toka mwaka 2011 lakini they saw it coming lakini wanashupaza shingo tu.

Nchi hii inahitaji haki tu hasira za Watanzania zimeanza mwaka 2010 baada ya uchaguzi na sababu kuu

Ni haki
Uwajibikaji
Ufisadi
Utekaji
Uhuru wa vyombo vya habari

Sasa hasira zote zitahitimishwa mwaka huu!!

Anachokisema mtoa mada ndicho kitakachotokea

Lilikuwa kosa kubwa sana Samia kuingiza watu kutoka Zanzibar,Uganda na Zimbabwe kuja kuua watanganyika.

Hii lazima alipe Samia na genge lake.
 
Hakuna Muislamu wala Mkristo mwenye nia ya kumdhuru mwenzake. Kama maandamano yatatokea yatakuwa ni mwendelezo wa kilichotokea Oct 29.

Hakuna mtu alikua anajali kuhusu dini ya mwenzake, sio waandamanaji sio wauaji.
 
Kiukweli mpaka hakuna mtu atajisumbua kuandaa report halisi kwa kile anachokiona na kusikia watu wamevunjika moyo vibaya sana 😭😭😢😢😢😢
 
Hakuna Muislamu wala Mkristo mwenye nia ya kumdhuru mwenzake. Kama maandamano yatatokea yatakuwa ni mwendelezo wa kilichotokea Oct 29.

Hakuna mtu alikua anajali kuhusu dini ya mwenzake, sio waandamanaji sio wauaji.

Ni kweli kabisa, Japo tusipo kua makini itaibuka ya Watanganyika VS wazanzibari.

Kwa kweli Nchi ikikosa Uongozi Ni shida sana.
 
Back
Top Bottom