Tahadhari: Kwa anayemjua Tapeli huyu

Tahadhari: Kwa anayemjua Tapeli huyu

ukitaka wakimbie we jifanya mjinga then mwishoni mwambie akutumie some dollars kwa ajili ya logistics etc...lazima watoke mbio
 
huo ni utapeli wa siku nyingi sana miaka ya 2000 na hawa watu walifanikiwa sana miaka hyo kutuibia sana mimi mwenyewe niliwatumia dola elfu 5 kwenye west union zamani walinitumia ujumbe wao huo wa kusikitisha sana mpaka nikamuonea huruma huyo dada mpaka nikaingia king mwenyewe

Hahahahahaha mbavu zangu, yaani $5000 kweli ndugu yangu kwa kuingiwa huruma na mtu wa kwenye mtandao tu.Basi na mimi nionee huruma nipo hapa Nyakanazi nataka kufanya biashara ya kuuza mitumba. Again du $5000 USD to the stranger, uko vizuri naona kwa sasa unaweza ukatoa $ 10,000 kabisa
 
Wapo wengi sana hao matapeli. Ukiwa na skype basi jiandae karibu kila siku utaombwa kibali cha kumpokea mzungu kwenye anwani yako. Kisha wanakuomba email address yako. Wengi wanajifanya wanajeshi wastaafu. Picha zinaonekana wamevaa sare ya jeshi. Stori zao zinafafana. Wanapenda kudanganya wanawake zaidi. Watakuambia wameachana na mke au wamefiwa na mke. Longolongo nyingi mwisho unaelezwa kuwa anataka kuja kuwekeza huku kwa hiyo umpe akaunti namba yako ahamishie mtaji wake kwenye akaunti yako na atakuja kuwekeza wewe uwe partiner wake. Maweeee, thubutu uliwe.
 
Tehe tehe, Wahuni tu hao wasikupotezee muda hata kidogo.
"hello i like us to communicate as you reply to my mail,(anna_sky40@yahoo.com),hope to hear from you soon i will reply with more about me.with love Anna"

"
Hi
I saw your profile i pick interest on it and if you don't mind i will like you to write me on this address (stephine.hosman@yahoo.co.uk) am waiting to read from you because i have something very important and urgent to tell you. In my reply i will send you another of my picture.
Please try write me direct to my email address so that i can be able to responds back to you or you can give me your own email so that i will replied you direct to your email address you give me. My e-mail (stephine.hosman@yahoo.co.uk) regards from
Stephine."

"


  • Conversation started June 11

  • 11:31pm
    Jennifer Jones(jennifer1v2johnson@yahoo.com)
    Hi,I am Jennifer,please how are you! hope you are fine and in perfect condition of health.I went through your profile and i read it and took interest in it,please if you don't mind i will like you to write me on this ID (jennifer1v2johnson@yahoo.com) because I am not often here on face book,hope to hear from you soon,and I will be waiting for your mail because i have something VERY important to tell you.and also do not reply me here on the site.
    Lots of love!
    Jennifer
    Together For ever....
    (¨`·.·´¨)
    `·.¸(¨`·.·´¨)Thanks
    (¨`·.·´¨)¸.·´ &
    `·.¸.·´....Regards
    ´¨)
    ¸ •´ ¸.•*´¨) Miss Jennifer.
    (¸.•´ (¸.
    **~*~*~*~*~*~**~**~*~*~*~*~*~**-**~*~*
    (jennifer1v2johnson@yahoo.com)"

    "

    Hello My Dear
    i am Lucy by name
    i am just looking at your profile,
    you look good in your pictures.
    please can i ask you for a friend?
    if yes reply me in my email box please
    lucymabou570@yahoo.co.uk
    This is my email lucymabou570@yahoo.co.uk"

    "Hi dear,
    How are you doing today? i hope fine,
    I am Rose by name i am in search of a true friend, some one matured and honest.and i love your profile, i want us to be friends but i don't know how you will feel about it,I hope you wouldn't mind despite we don't know each other before, i'm sorry if i am embarrassing you, please write to me direct to my privet email address so that i will explain to you every details about me because i don't have much access on face book all the tome due to some personal reasons, my privet email is .( rosebaby8@hotmail.com) i wait for your mail to my email ok, have a nice day."

    "

    Hello dear,
    how are you doing today, i just saw your profile and decided to write you a mail i hope you can be more than a friend to me, here is my email maryjamesj@yahoo.com,// please i want you to reply me through my email address above maryjamesj@yahoo.com,// so that i will write you back and tell you more about my self for you to know whom i am, please do not ignure to reply my mail on my email thank you as i wait for your reply, yours maryjamesj@yahoo.com,."










duuh ebwana ndivyo hivyo ilivyo wadau yani nimekubali kwamba sio mimi peke yangu niliyetumiwa huo upuuzi kweli hili suala yafaa liangaliwe sana
 
naona huyu tapeli hajafanikiwa anachokitafuta; ata mimi alinitafuta na kunitumia meseji kibao zenye kuonyesha kwamba yuko katika mazingira magumu ya kwamba anaishi kwenye kambi ya wakimbizi mjini Senegal kutokana na machafuko ya kisiasa yaliyotokea Nchini mwao huko Ivory Cost; nilijitahidi kumpa ushauri wa kumtia lakini baadae alianza kunitumia meseji za kimapenzi meseji zikisema, ''....your are only my real lover.....'' nilipo muhoji sana kwamba kulikoni; akakata mawasiliano, na mimi ndo ikawa nafuu yangu.
 
Hata mimi nilishapata hizo msg zao,niligundua ni matapeli mara moja.Vya bure vinamadhara.
 
Back
Top Bottom