Tahadhari kuelekea Disemba 9

Tahadhari kuelekea Disemba 9

MlimaSayuni

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2013
Posts
6,543
Reaction score
11,644
Kuelekea tarehe 9 anza kukusanya mahitaji yako ndani, mlikishwa pewa taarifa muhimu ya kutoa pesa kwenye mabenki na simu muwe na Cash.

This is highly likely, kuwa hili jambo la tarehe 9 likienda kama linavotakiwa kwenda, basi historia mpya Tanzania itaandikwa
 
Bado sioni hayo yakitokea tarehe 9. Vita ya wenyewe kwa wenyewe huusisha silaha za moto .Hakuna wenye silaha za moto zaidi ya majeshi yaliyopo
 
Mwenyezi Mungu atatuepusha na hilo, InshaAllah.

Lengo la TEC atalitupilia mbali.
 
Bado sioni hayo yakitokea tarehe 9. Vita ya wenyewe kwa wenyewe huusisha silaha za moto .Hakuna wenye silaha za moto zaidi ya majeshi yaliyopo
vita ni vita. Sio lazima bunduki ya moto itumike.
Umeshaambiwa katoe pesa zako benki msiwe wajinga. Utajifunza ukiwa umeshaumia
 
Kwa ile hotuba aisee 😅😅

Diaspora bado mnataka wenzenu wakapoteee hamnaga huruma aisee nyie ni wanyama
 
Back
Top Bottom