silent lion
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 1,208
- 1,668
Asije mtu akaingizwa chaka bure, kwa kweli huu ujinga wa wazungu si wakushabikia hata kidogo. Uongo ni uongo tu na si jambo la kufanyiwa mzaha. Nakumbuka mwaka juzi Redio Zanzibar ilitangaza kuwa itagawa mchele bure, masikini ya Mungu wakajazana studio, kufika wanaambiwa leo ni siku ya Wajinga, it was soo painfulll!!!!!!