Tahadhari: Huu ni msimu wa nyoka!

Huyu bwana nimemkuta chini ya fagio, ningejichanganya kidogo tu angeniadhibu vikali
IMG_20191121_224238.jpeg
 
Huajenga bado yakwako?!!
ngoja usiku niamke kimya kimya nafyeka haya maua ya mama wa nyumba yotee, au kesho nikanunue ile dawa ya kuyakaushaaa.

Na anavyoamini uchawi alooo mchungaji lazima amle kichwa, maana nishawahi ona kitu kinatereza tereza kwenye dirisha leo ndio nimegundua sio ndoto ilikuwa kifoo.

Ubarikiwe mkuu
 
Niliwahi sikia kuna nyoka anaitwa ndumilakuwili huyu nyoka ana vichwa viwili na vyote vinaweza kumgogonga mtu, ni kweli?
 
Hii tahadhari kama inahusu kipindi cha joto, nadhani watoaji taarifa wamewahi au kuchelewa kutoa maana hii ni November to December ambapo tunajua kipindi hiki kikoje kijiografia.
 
Back
Top Bottom