Amalinze
JF-Expert Member
- May 6, 2012
- 6,784
- 5,285
Duh si Mchezo...Dude Limeamshwaaa mmmhh.Magufuli kama kawaida yake - amekaa pembeni anachungulia mchezo mzima na anasubiri aone hao EWURA na Lawyers wao wataamua nini mwisho wa siku. Ngalamgosi aliponea chupuchupu wakati yule wa TANESCO anapigwa kibuti kipindi kile. Asipoangalia zamu hii na yeye atachomolewa.