TAHADHARI: EWURA mnaingia katika mtego kama ule wa TANESCO

Naomba mods muache huu uzi kwa faida ya wenzetu wa EWURA.

Kwa nyinyi kukusanya maoni juu ya kuoingezea IPTL mkataba naamani mtakuwa mnafanya hivyo kwa mujibu wa sheria kwani bila shaka sheria inawataka mfanye hivyo baada ya kupokea maombi ya kampuni husika.

Naamini licha ya tuhuma lukuki zinazoikabili IPTL,nyinyi tuhuma hizo hamna mamlaka nazo maadamu wenye mamlaka hawajachuk
ua hatua hivo nyinyi kama EWURA inawabidi tu muichukulie IPTL kama kampuni isiyo na makandokando yoyote hata kama mnajua ina madudu hivyo inawabidi tu mtimize wajibu wenu wa kupokes maoni ya wananchi juu ya maombi ya kampuni hii kutaka kuongezewa leseni ya kuzalisha umeme.

Hata hivyo,tambieni hata TANESCO walifuata taratibu zote zilizowekwa za kupandisha bei ya umeme ikiwemo kuwashirikisha nyinyi EWURA kama wadhibiti kulingana na sheria inavyotaka na katika mchakato wote ule TANESCO waliachwa waendelee na huo mchakato mpaka pale bei mpya ya umeme ilipotangazwa.

Kwa mtazamo wangu,kama jinsi TANESCO walivyoachwa kuendelea na ule mchakato,ndivyo vivyo hata nyinyi mtaachwa na mchakato huu wa kuipatia leseni kampuni hii ya IPTL ili mwisho wa siku na nyie muingie mtegoni alafu wawageuke na wao wajizolee sifa za kisiasa

Sitashangaa pia wakaja na hoja ya kutaka kuifuta kabisa EWURA iwapo kwa mujibu wa sheria itakuwa vigumu kuwachukulia nyie hatua.

Mwenye macho haambiwi tazama.

Time will tell.
Tayari yametimia, bosi wa EWURA katumbuliwa usiku usiku.

Hii inaashiria kuwa utawala huu chini ya Magufuli unafanya kazi kwa KUVIZIANA sana na hivyo ni rahisi sana hata kubashiri nini kinachoweza kutokea kila mara.
 
Huu utawala hata mtoto mdogo anaweza kubashiri kesho nani atatumbuliwa maan unafanya kazi kwa sifa na kuviziana
 
Naomba mods muache huu uzi kwa faida ya wenzetu wa EWURA.

Kwa nyinyi kukusanya maoni juu ya kuoingezea IPTL mkataba naamani mtakuwa mnafanya hivyo kwa mujibu wa sheria kwani bila shaka sheria inawataka mfanye hivyo baada ya kupokea maombi ya kampuni husika.

Naamini licha ya tuhuma lukuki zinazoikabili IPTL,nyinyi tuhuma hizo hamna mamlaka nazo maadamu wenye mamlaka hawajachuk
ua hatua hivo nyinyi kama EWURA inawabidi tu muichukulie IPTL kama kampuni isiyo na makandokando yoyote hata kama mnajua ina madudu hivyo inawabidi tu mtimize wajibu wenu wa kupokes maoni ya wananchi juu ya maombi ya kampuni hii kutaka kuongezewa leseni ya kuzalisha umeme.

Hata hivyo,tambieni hata TANESCO walifuata taratibu zote zilizowekwa za kupandisha bei ya umeme ikiwemo kuwashirikisha nyinyi EWURA kama wadhibiti kulingana na sheria inavyotaka na katika mchakato wote ule TANESCO waliachwa waendelee na huo mchakato mpaka pale bei mpya ya umeme ilipotangazwa.

Kwa mtazamo wangu,kama jinsi TANESCO walivyoachwa kuendelea na ule mchakato,ndivyo vivyo hata nyinyi mtaachwa na mchakato huu wa kuipatia leseni kampuni hii ya IPTL ili mwisho wa siku na nyie muingie mtegoni alafu wawageuke na wao wajizolee sifa za kisiasa

Sitashangaa pia wakaja na hoja ya kutaka kuifuta kabisa EWURA iwapo kwa mujibu wa sheria itakuwa vigumu kuwachukulia nyie hatua.

Mwenye macho haambiwi tazama.

Time will tell.
Salute to you Salary Slip.
 
Magufuli kama kawaida yake - amekaa pembeni anachungulia mchezo mzima na anasubiri aone hao EWURA na Lawyers wao wataamua nini mwisho wa siku. Ngalamgosi aliponea chupuchupu wakati yule wa TANESCO anapigwa kibuti kipindi kile. Asipoangalia zamu hii na yeye atachomolewa.
Umetoa utabiri mzuri sana mkuu...na yametimia...big up mkuu wangu.
 
Naomba mods muache huu uzi kwa faida ya wenzetu wa EWURA.

Kwa nyinyi kukusanya maoni juu ya kuoingezea IPTL mkataba naamani mtakuwa mnafanya hivyo kwa mujibu wa sheria kwani bila shaka sheria inawataka mfanye hivyo baada ya kupokea maombi ya kampuni husika.

Naamini licha ya tuhuma lukuki zinazoikabili IPTL,nyinyi tuhuma hizo hamna mamlaka nazo maadamu wenye mamlaka hawajachuk
ua hatua hivo nyinyi kama EWURA inawabidi tu muichukulie IPTL kama kampuni isiyo na makandokando yoyote hata kama mnajua ina madudu hivyo inawabidi tu mtimize wajibu wenu wa kupokes maoni ya wananchi juu ya maombi ya kampuni hii kutaka kuongezewa leseni ya kuzalisha umeme.

Hata hivyo,tambieni hata TANESCO walifuata taratibu zote zilizowekwa za kupandisha bei ya umeme ikiwemo kuwashirikisha nyinyi EWURA kama wadhibiti kulingana na sheria inavyotaka na katika mchakato wote ule TANESCO waliachwa waendelee na huo mchakato mpaka pale bei mpya ya umeme ilipotangazwa.

Kwa mtazamo wangu,kama jinsi TANESCO walivyoachwa kuendelea na ule mchakato,ndivyo vivyo hata nyinyi mtaachwa na mchakato huu wa kuipatia leseni kampuni hii ya IPTL ili mwisho wa siku na nyie muingie mtegoni alafu wawageuke na wao wajizolee sifa za kisiasa

Sitashangaa pia wakaja na hoja ya kutaka kuifuta kabisa EWURA iwapo kwa mujibu wa sheria itakuwa vigumu kuwachukulia nyie hatua.

Mwenye macho haambiwi tazama.

Time will tell.
Uliotea sana mkuu...hongera...kwa leo nimependa utabiri wako na yametimia..
 
Kuna watu mna akili kubwa sana hapa Tanzania, salute
 
Back
Top Bottom