Afadhali yalikukuta. kesho utakunywa kondom iliyotumika. Kila siku tunasema acheni pombe mumrudie MUNGU hamtaki. acha pombe uimarishe uhusiano na wife. familia. jamii. ukue kisaikolojia . kiuchumi na kiroho.Wana jf, jana usiku nimekutwa na balaa la kukuta mende ndani ya bia (jina nalihifadhi) ktk bar moja mjini Mwanza.Hii ilitokana na mie kupenda kutotumia glasi.jihadhalini jitahidini kutumia glasi.
Afadhali yalikukuta. kesho utakunywa kondom iliyotumika. Kila siku tunasema acheni pombe mumrudie MUNGU hamtaki. acha pombe uimarishe uhusiano na wife. familia. jamii. ukue kisaikolojia . kiuchumi na kiroho.
Pastor, point of correction, please: jamaa ameongelea bia, wewe unaongelea pombe! Vitu viwili tofauti kabisa! Bia = (kinywaji) Safari lager, balimi, kilimanjaro, tusker, ndovu, castle, primus, carlsberg, redds, serengeti, n.k. Pombe = wanzuki, kimpumu, mnazi, ulanzi, mbege, gongo,mapuya, rubisi, viroba, n.k.
By the way, unafahamu utengenezaji na mauzo ya bia yanachangia kiasi gani katika pato la Taifa, pato ambalo wewe hapo ulipo unalifaidi bila jasho? Kama vipi, njoo hapa Freedom Bar, Ghana, Mwanza nikupe somo huku naburudika na castle bariidi kwa supu ya kongoro!
Mleta Uzi, hiyo ishu ya mende kwenye chupa ya bia ni kama ajali kazini, we piga kinywaji kwa afya mkuu, maisha yenyewe mafupi haya!
jaribu siku upige bia tatu kama haujasema ''nilikuwa wapi?''Hakuna ujinga wa mwisho kama kusifu unywaji pombe
oooh!! what a pity??Mmmh bora sinywi hayo makitu
oooh!! what a pity??
Afadhali yalikukuta. kesho utakunywa kondom iliyotumika. Kila siku tunasema acheni pombe mumrudie MUNGU hamtaki. acha pombe uimarishe uhusiano na wife. familia. jamii. ukue kisaikolojia . kiuchumi na kiroho.
aliyekuambia vote hi yo hatuna in nani?tatizo ya watu wanaojifanya wasafi ndo hii ,kazi kuhukumu tu na kuwasema watu .unajua hata kuhukumu ni dhambi?
tena hao wanaojiita watumishi ndio wanaoongoza kufumaniwa na wake/waume wa wenzao.!aliyekuambia vote hi yo hatuna in nani?tatizo ya watu wanaojifanya wasafi ndo hii ,kazi kuhukumu tu na kuwasema watu .unajua hata kuhukumu ni dhambi?
Redy hawa watu sijui wakoje yani wanataka jamii nzima tuwe wachungaji au masheikh vp hawa control freaks!mi km nagonga kivyangu...wacha nitaue manica moja barrrridii,hii kitu ya hapa mosambique km mbuyu safari ya kwetu tujaribu siku upige bia tatu kama haujasema ''nilikuwa wapi?''
Redy hawa watu sijui wakoje yani wanataka jamii nzima tuwe wachungaji au masheikh vp hawa control freaks!mi km nagonga kivyangu...wacha nitaue manica moja barrrridii,hii kitu ya hapa mosambique km mbuyu safari ya kwetu tu