Tahadhali kwa wanywaji bia usiku

Tahadhali kwa wanywaji bia usiku

Kunywa bia kwa chupa si nzuri kiafya.Ukitumia glass gesi inatoka vizuri ambayo kwa chupa unaibugia tu.
 
Kunywa bia kwa chupa si nzuri kiafya.Ukitumia glass gesi inatoka vizuri ambayo kwa chupa unaibugia tu.

Na ukitumia glass si nzuri kiafya manake wahuni wanaweza kukupa mixer kidisign...hasa wakiona una wallet nene.
 
Kukuambia uache pombe sio kukunyooshea kidol
e ila tunataka kuokoa roho yako. familia yako uchumi wako afya yako na muda wako. Pombe inakusaidia nini ww maskini wa MUNGU.

wewe jamaa una guts mbaya acha watu tugonge mvinyo na mambo ya maana tunafanya kuliko ww unayetuponda
 
Walevi popote walipo wanahisi wanafaidi. wazinzi popote gesti walipo wanahisi wanafaidi lkn wote hawa siku wakiacha watagundua walikua wanapoteza muda na kuchuna dhambi tu. Njooni huku kusiko na bar wala gesti muone raha na utamu wa maisha

Barabara hazitakuwa na lami ujue, hospitali hazitakuwa na dawa (hata za kusingizia ) ujue, wanaotegemea tenda za serikali kupitia bajeti hawatapata kazi ujue.
Misingi ya dunia ndio ilivyo. Ukichukia kunywa pombe na kuvuta sigala, utafaidi matunda yake kwenye "public goods" ujue.
 
Hiyo baa itakuwa ni chafu sana. Hiyo mende iliingia wakati unaendelea kunywa. Vilele kutumia glasi napo siyo vizuri glasi zingine zinatumiwa na watu wanamagonjwa mbalimbali kama TB, Na baa zingine glasi huwa hazioshwi vizuri.
 
Walevi popote walipo wanahisi wanafaidi. wazinzi popote gesti walipo wanahisi wanafaidi lkn wote hawa siku wakiacha watagundua walikua wanapoteza muda na kuchuna dhambi tu. Njooni huku kusiko na bar wala gesti muone raha na utamu wa maisha

kama hupigi vyombo na kwnye ngono haupo basi kuna uwezekano we chele. kaa mwenyewe uko, si riziki ww
 
Wana jf, jana usiku nimekutwa na balaa la kukuta mende ndani ya bia (jina nalihifadhi) ktk bar moja mjini Mwanza.Hii ilitokana na mie kupenda kutotumia glasi.jihadhalini jitahidini kutumia glasi.
...baada ya hapo umefanya nini?????, huo ni uzembe wa Manufacturer Industry kushindwa kujali mtumiaji wa bidhaa yao: kama ni kweli unastahili fidia.
 
story hiz nyingi hapa mjini mm nilikuta condom baadae nikakuta nyeti za me na ke then nikakuta watu wanagegedana ila bado napiga pombe kama kawa dear gambe

..we kweli bandidu safi sana ilikuwa bado tu kumeza na chupa yake..
 
jaribu siku upige bia tatu kama haujasema ''nilikuwa wapi?''

wewe ndiye utakayesema nilikuwa wapi pindi utakapoacha pombe,Watengenezaji wa pombe wenyewe wanawatahadharisha kunywa pombe ni hatari kwa afya yako,sidhani kama unasubiri MTU mwingine akwambie madhara ya pombe mbali na watengenezaji wanaoijua vyema .Usisubiri uugue kisukari acha sasa.Sio jambo la dini,ni swala la afya
 
wewe jamaa una guts mbaya acha watu tugonge mvinyo na mambo ya maana tunafanya kuliko ww unayetuponda

Kushinda bar na baadae kuhamia gesti kwako wewe ni jambo la busara. ndio akili yako ya pombe inavyokutuma ?@####@@%&%#@
 
Hiyo baa itakuwa ni chafu sana. Hiyo mende iliingia wakati unaendelea kunywa. Vilele kutumia glasi napo siyo vizuri glasi zingine zinatumiwa na watu wanamagonjwa mbalimbali kama TB, Na baa zingine glasi huwa hazioshwi vizuri.

nitaanza kutembea na chujio sasa. ikishindikana hata shati langu nitatumia.
 
Kushinda bar na baadae kuhamia gesti kwako wewe ni jambo la busara. ndio akili yako ya pombe inavyokutuma ?@####@@%&%#@

Duh!! We jamaa unamoyo mkubwa kijiji! Na hii yote inasababishwa na kuacha kwako kunywa pombe.
 
Kabla ya kunywa Bia chunguza usafi wake ndani juzi nilikunywa bia kwenye bar yenye mgao umeme baada ya mda nilianza kuharisha utadani nimekuwa Bata.Nadhani kuna haja sasa bia Nazo ziwekwe kwenye chupa za plastic kwani chupa zinazotumika sasa kwa baadhi ya bia Ni chafu na zimezeeka sana
 
Walevi popote walipo wanahisi wanafaidi. wazinzi popote gesti walipo wanahisi wanafaidi lkn wote hawa siku wakiacha watagundua walikua wanapoteza muda na kuchuna dhambi tu. Njooni huku kusiko na bar wala gesti muone raha na utamu wa maisha

.....kwan guest ni kwa ajili ya wazinzi??? Ni.nyumba ya kulala wageni.......acha stereo types mkuu
 
Kushinda bar na baadae kuhamia gesti kwako wewe ni jambo la busara. ndio akili yako ya pombe inavyokutuma ?@####@@%&%#@

Wewe Zezeta live ur life achana na maisha ya wengine. humlishi mtu humveshi mtu stop nonsense with ur bad mounth.
 
Back
Top Bottom