Tahadhali kwa wanywaji bia usiku

Tahadhali kwa wanywaji bia usiku

Wewe Zezeta live ur life achana na maisha ya wengine. humlishi mtu humveshi mtu stop nonsense with ur bad mounth.

Kaka Matola. I like you most when you are emmotional. Naona una glasi hapo ulipo. Leo anza kwa kupunguza idadi ya chupa/viroba. endelea kupunguza na MUNGU atakusaidia utafanikiwa kuacha. Sio lazima kila mngoni awe mlevi. may God bless you
 
Pastor, point of correction, please: jamaa ameongelea bia, wewe unaongelea pombe! Vitu viwili tofauti kabisa! Bia = (kinywaji) Safari lager, balimi, kilimanjaro, tusker, ndovu, castle, primus, carlsberg, redds, serengeti, n.k. Pombe = wanzuki, kimpumu, mnazi, ulanzi, mbege, gongo,mapuya, rubisi, viroba, n.k.

By the way, unafahamu utengenezaji na mauzo ya bia yanachangia kiasi gani katika pato la Taifa, pato ambalo wewe hapo ulipo unalifaidi bila jasho? Kama vipi, njoo hapa Freedom Bar, Ghana, Mwanza nikupe somo huku naburudika na castle bariidi kwa supu ya kongoro!

Mleta Uzi, hiyo ishu ya mende kwenye chupa ya bia ni kama ajali kazini, we piga kinywaji kwa afya mkuu, maisha yenyewe mafupi haya!

watoa points kama hizi ni wachache sana duniani
 
.
.
mi km nagonga kivyangu...wacha nitaue manica moja barrrridii,hii kitu ya hapa mosambique km mbuyu safari ya kwetu tu

agua do papa,
Kama machozi ya simba! Kwa Samora mnafaidi.
 
Wewe Zezeta live ur life achana na maisha ya wengine. humlishi mtu humveshi mtu stop nonsense with ur bad mounth.

Jamaa anajaribu tuu kutimiza wajibu wake kama mkristo kama hauamini kasome na hao wenzako mnaoshabikia uovu, Ezekiel 3,18-19.
 
Hivi ni wapi pameandikwa pombe ni dhambi,uzinzi na kudhulumu maskini kunakofanywa na hawa wanojiita wachungaji na manabii hiyo siyo dhambi? acheni unafiki enyi kizazi cha nyoka,pombe nitakunywa tena sana maadamu sifanyi uzinzi na wala sidhulumu mtu,
 
Afadhali yalikukuta. kesho utakunywa kondom iliyotumika. Kila siku tunasema acheni pombe mumrudie MUNGU hamtaki. acha pombe uimarishe uhusiano na wife. familia. jamii. ukue kisaikolojia . kiuchumi na kiroho.

Wewe naona unaleta ulokole humu. Je, siku ukikuta mende kwenye ugali utaacha kula ugali umrudie mungu? Nonsense
 
Back
Top Bottom