Tafuta wakufanana naye

......aisee kwamba tutafute wakufanana nasi, Sasa uzuri au ubaya unategemea na wanaokuona, utajijuaje kuwa mzuri au mbaya Ili utafute mbaya au mzuri mwenzio.....
 
......aisee kwamba tutafute wakufanana nasi, Sasa uzuri au ubaya unategemea na wanaokuona, utajijuaje kuwa mzuri au mbaya Ili utafute mbaya au mzuri mwenzio.....
Kwa hiyo wewe hujawahi kuambiwa wewe ni mibaya cha hzooo
 
Kaka yako naye ana bonge la chura la kufanana na la mkewe, au siyo Madame?
 
Yani anachura na bado mcha mungu 🏃🏃🏃🏃🏃🏃

Ntarudi ngoja sio mda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…