Tafuta mwanamke uoe, haya ndio maumbile tuliyoumbiwa

Sijazungua mabao hapo... Nimezungumzia nyakati za kuwa wote...

Sasa nikupe siri nyingine...

Mwanaume anayepiga bao nyingi ni dalili ya upungufu wa nguvu za kiume... Njooni inbox niwatibie BI IDHNILLAAH...

Mwanaume mwenye nguvu hasifiki kwa idadi ya bao... Anasifika kwa MUDA ANAOTUMIA KUTOKA BAO MOJA KWENDA JINGINE... Hiyo ni moja...

Mbili, Mwanaume rijali hasifiki kwa idadi ya bao anazozipiga yeye... Ila atasifika kwa IDADI YA MABAO ANAYOMPIGISHA MWANAMKE(anamfikisha mwanamke kileleni mara ngapi).
Hahahahahahaha. Kweli hii dunia vipaumbele ni tofauti sana katika maisha. Wakati wengine vipaumbele vikiwa ni mifumo ya sayari na masatelaiti na wapo huko angani wengine vipaumbele ni urijali. Ila upo sawa. Vijana waoe sababu ngono ni basic need.
 
Ndiyo muoe Sasa..siyo kila kukicha na **** mpya Kuna maradhi shenzyy
Na nyie mkubali kuletewa wake wadogo sio mnaanza leta fyoko fyoko oh mie ndoa ya wake wengi sitaki.

Niulize tuu jamani hivi ndoa ya wake wengi unaruhusiwa kupiga threesome/ foursome nao?
 
Back
Top Bottom