Kama ingekua ni kweli.....Wakuu hii kauli nilikua nikiambiwa na marehem baba. Hivi ina maana gani, kwa sababu alikua akinambia kipindi nasoma na mimi nilikua nachukulia kawaida sana
Na hata mtaani uwa naiskia sana.Hivi ela na mke mzuri vinaendana vipi?
Sasa kama ukinywa pombe za elfu 20 ukatosheka kinachofuata ni nini?Hivi mtu akiwa na pesa anachowaza ni wanawake tu