Tafsiri za ndoto na ufafanuzi wake siku ya leo

Huwa naota niko na mdogo wangu marehemu. Tatizo nini?
Ndoto kuhusu Ndugu Aliyekufa Kuwa Hai ni ushahidi wa furaha, raha mpya au usikivu ulioongezeka (watu wanakusikiliza kwa namna unavyokwenda na hisia zao. Ndoto hii ni ushahidi wa jambo fulani la thamani au nyeti. Uko sahihi au maoni yako ya kisiasa yanaegemea sawa. Inaashiria vitendo, hadhi, mafanikio na nafasi yako ulimwenguni. Unahitaji kupumzika zaidi na kujipumzisha. Unakataa kuona ukweli katika jambo fulani. Ndoto hii inaashiria bahati nzurii, furaha na matumaini.
 
Nimeota nipo na kaka yangu tunatembea tukiwa nafuraha kweli katika hyo njia tuliyokuwa tunambea mbele yupo Baba yang, baba mdg na kaka yangu mwingine nilivyofika nikamsalimia baba wakat nataka kutoa mkono kwake nisalimie wengne akanizuia n akaniambia subr akaongea maneno nisiyoyaelewa kwa dakika moja

Baada ya hapo akaniambia twende ziwani tulivyokaribia ziwani akasema ngoja nitangulie, alifika kweny maji ya mafupi akaangalia akaniambia njoo uingie, nikaingia mpaka usawa wa maji ya kiunoni n akasema tembea uzunguke, nikiwa natembea miguu ikiwa ndan ya maji n nikizunguka akawa anaongea maneno, maneno niliyoyaelewa ni mawili NAKUFUNGULIA MAISHA YAKO na JITAHIDI KUFICHA KIVULI CHAKO

Naomba msaada wa maana ya hii ndoto
 
Mim usiku wa leo nimeota nilikuwa safar kwebye gar mara gar ikaharibika na ikatubidi tukae hapo kijijin kusubiri gari .wakati tunasubiri mim nikamuona binti mmoja nikavutiwa nae ivyo nikaanza harakat za kutaka kufanya nae mapenz na kweli kukawa na mpira kwenye tv watu wote wa pale kijijin na abiria wenzangu wakaenda kuangalia mpira mim nikawatorka nikamfata yule binti kwao nikamshawish na kweli nikafanya nae mapenz ...huku niksema moyon mbona mtam haonekan kama wa kijijin lakin kabla sijamaliza kwa maaba ya kumwaga nikaaacha kufanya mapenz na mpira ukawa uneisha watu wametawanyika mim wale wananchi wa kijijin wakaanza kuniikimbiza mpaka ikafija point napaa...wale waliokuwa wananikimbiza kuna kipind walikuwa karibu yangu kabisa lakin kumbe hawanifaham...bas nikaamua kichepuka njia isiyo rasmi nikiiamin nawatoraka kumbe mwishon nikaja kujikuta nimenasa kwebye mtego na huo mtego ni wa watoto ikabidi niwaulize ivi nyie n kund moja na wale akaniabia ndio we unadhan tungeuachia tu ..wakawa wananishangaa mbona mim mwil wangu wa moto yan damu yangu ya moto wao damu yao ya barid yaan wa barid kama ..bas nikashtuka.

Sent from my SM-G965F using JamiiForums mobile app
 
Inaashiria kitu kuhusu hali yako ya akili ya sasa, kitu kinachoathiri maisha yako, lakini kitu ambacho hukijui. Kwa kawaida hukuonyesha kitu kuhusu mawazo yako ya sasa. Hiyo ina maana kwamba ndoto inazungumzia njia fulani ambayo unaishi maisha yako. Sio tu kuhusu kile unachofanya, lakini pia jinsi unavyofikiri na kile unachoamini, yaani, dhana yako. Baba kukudhibiti kusalimiana na ndugu zako ni ishara kwako kuacha kuchunguza kila kitu kuhusu jinsi unavyoshiriki katika ulimwengu. Lakini pia ni ishara ya utakaso au kuhisi kuzidiwa.
 
Mim usiku wa leo nimeota nilikuwa safar kwebye gar mara gar ikaharibika na ikatubidi tukae hapo kijijin kusubiri gari .wakati tunasubiri mim nikamuona binti mmoja nikavutiwa nae ivyo nikaanza harakat za kutaka kufanya nae mapenz na kweli kukawa na mpira kwenye tv watu wote wa pale kijijin na abiria wenzangu wakaenda kuangalia mpira mim nikawatorka nikamfata yule binti kwao nikamshawish na kweli nikafanya nae mapenz ...huku niksema moyon mbona mtam haonekan kama wa kijijin lakin kabla sijamaliza kwa maaba ya kumwaga nikaaacha kufanya mapenz na mpira ukawa uneisha watu wametawanyika mim wale wananchi wa kijijin wakaanza kuniikimbiza mpaka ikafija point napaa...wale waliokuwa wananikimbiza kuna kipind walikuwa karibu yangu kabisa lakin kumbe hawanifaham...bas nikaamua kichepuka njia isiyo rasmi nikiiamin nawatoraka kumbe mwishon nikaja kujikuta nimenasa kwebye mtego na huo mtego ni wa watoto ikabidi niwaulize ivi nyie n kund moja na wale akaniabia ndio we unadhan tungeuachia tu ..wakawa wananishangaa mbona mim mwil wangu wa moto yan damu yangu ya moto wao damu yao ya barid yaan wa barid kama ..bas nikashtuka.

Sent from my SM-G965F using JamiiForums mobile app
Inaashiria kutoaminiana kwako na wengine. Mchakato wa mawazo au akili yako imejaa mawingu, ni utangulizi wa wasiwasi wako wa kifedha. Kuna kitu katika maisha yako ambacho unapaswa kuepuka. Kitu unachofanya kinatia shaka. Unapoteza muda na nguvu zako kwa shughuli za kipuuzi. Huenda unataka kuepuka mikazo ya utu uzima. Ndoto hii inawakilisha maoni yako juu ya maadili yako mwenyewe katika muktadha wa kanuni za kijamii. Kuna jambo unajaribu kukaidi bila kuonekana mgomvi.
 
Nimeota nimefumaniwa na mke wa sheikh nafanyanae mapenzi baada ya kutufuma yule sheikh alikuwa na mwanafunzi wake akaniambia utaona leo akaanza kusoma kitabu msahafu nakatoka pale kitandani nilipokaa na yule mwanamke nikamputa kitabu yule sheikh nikajilazimisha nimke nikawa mzito kuamka baadae nikaamka niliota asubuhi saa 11
 
Inaonyesha kuwa mpenzi wako anakujali na anakuamini sana. Ili kudumisha uhusiano wako, pia unajionya kila wakati usipuuze majaribu ya wanaume wengine (yaani usiruhusu wanaume kumjaribu mkeo kama umeoa). Pia huonesha kuwa una shaka juu ya uhusiano ulionao. Ikiwa bado hujaoa, ndoto ya kufanya ngono na mke wa rafiki yako inaweza kuonyesha hofu yako ya ndoa na kumpenda mpenzi wako sana. Ikiwa umeoa inawakilisha uhusiano wako unaweza kuwa imara kwa wakati huu.
 
Nimeota Niko shule kwenye mtihani wa Necta, kwanza nimechelewa kuingia kwenye chumba cha mtihani na kukuta wenzangu wameshaanza kufanya mtihani, pili mpaka muda wa mtihani unakaribia kuisha sijajibu swali hata moja mara ghafra nashtuka nikiwa nimejawa na hasira sana maana nimeogopa kwakuwa kipindi nasoma nilikuwa nafaulu vizur tu japo msuli ulikuwa sio wa kitoto, na hizi ndoto za secondary huwa zinanijia sana wakat shule nimemaliza kitambo tu japo maisha hayajatengemaa.
 
Tafsiri za ndoto
 
Attachments

  • 1_20231214_154120_0000.png
    1_20231214_154120_0000.png
    512.2 KB · Views: 0
Back
Top Bottom