Tafsiri ya neno Mbwa koko

Tafsiri ya neno Mbwa koko

Mbwakoko si mbwa koko kwa kiingereza Slum dog no mbwa asiyefugika, hana mmiliki anayemtunza. Maana uliyoitoa si sahihi. usemi kipigo cha mbwakoko unatokana na mazoea ya watu kumpiga anapoonekana mtaani hata bila kosa.
Mbwa koko mnajifariji[emoji23] [emoji23]
 
watanzania wenyewe ndo tumeamua tuwe na AMANI..
Sio vitisho vyao VYA KIPIGO CHA MBWA KOKO.
Watu wenye akili hawawezi kuifurahia hii kauli.
SIJASOMEA SHERIA.
ila naamini hakuna sheria inayosema RAIA wakiandamana basi POLISI WATOE KIPIGO CHA MBWA KOKO.
NI KAULI YA KIPUMBAVU.
 
Kiboko alikuwa yule waziri Saddam Hussein wa Iraq,
Alikuwa anatisha majeshi ya marekani!
Nmemsahau jina
Ilikuwa anaitwa Al_sahaf. Yeye walikuwa akiongea kwenye TV, background inaonyesha wamarekani wanavoshambuliwa! Na wakati wamezidiwa kbs anajiandaa kukimbia bado walikuwa anasisitiza Baghdad ndo kaburi la wamarekani!! Ni muongo kuliko jiwe!
Yule Mzee sitakaa nimsahau!
 
Kiboko alikuwa yule waziri Saddam Hussein wa Iraq,
Alikuwa anatisha majeshi ya marekani!
Nmemsahau jina
Umenikumbusha mbali sana. Aliitwa Al- Sayaf kama sijakosea. Ila aliishia kujinyonga ili asikamatwe na majeshi ya NATO.
 
Way back niliwahi kuishi mwanza pale, RPC huyu Muroto alikuwa OCS wa kituo cha igogo...alikuwa katili na asiecheka na Nyani wala kuangalia sura those days...alikuwa mtu ambae ni workaholic and mtu anaependa attention sana.

But Alikomesha wahuni wa kule igogo OPEC waliokuwa wamepinda na kushindikana Mwanza ila kwa huyu mzee wote walifyata na kusilimu amri.

Lile biti lake la jana lilitosha kabisa kutuweza "mbwa koko wote wa ndani na nje ya nchi"

Nawasalimu mbwa koko wenzangu kwa jina letu lile.
Hahahaha
Haki ya Mola wangu walahi
 
Mbwakoko si mbwa koko kwa kiingereza Slum dog no mbwa asiyefugika, hana mmiliki anayemtunza. Maana uliyoitoa si sahihi. usemi kipigo cha mbwakoko unatokana na mazoea ya watu kumpiga anapoonekana mtaani hata bila kosa.
Aisee
Kaaazi kweli kweli
 
Kiboko alikuwa yule waziri Saddam Hussein wa Iraq,
Alikuwa anatisha majeshi ya marekani!
Nmemsahau jina
Al Sahaf,, sijui kama nimepatia jina, alikamatwa na wamarekani lakini baadae aliachiwa maana waliona kazi yake ilikuwa kama ya Haji Manara au Polepole, kupiga domo tu
 
Back
Top Bottom