mbongo_halisi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 7,756
- 6,293
Unaambiwa Mange alipigwa kipigo cha mbwa koko na baba yake mzazi mpaka akazaa ndugu yake.
El-SahaffKiboko alikuwa yule waziri Saddam Hussein wa Iraq,
Alikuwa anatisha majeshi ya marekani!
Nmemsahau jina
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Way back niliwahi kuishi mwanza pale, RPC huyu Muroto alikuwa OCS wa kituo cha igogo...alikuwa katili na asiecheka na Nyani wala kuangalia sura those days...alikuwa mtu ambae ni workaholic and mtu anaependa attention sana.
But Alikomesha wahuni wa kule igogo OPEC waliokuwa wamepinda na kushindikana Mwanza ila kwa huyu mzee wote walifyata na kusilimu amri.
Lile biti lake la jana lilitosha kabisa kutuweza "mbwa koko wote wa ndani na nje ya nchi"
Nawasalimu mbwa koko wenzangu kwa jina letu lile.
Mbavu zangu wadau mnishike ahahaa...Sura mbuzi tabasamu la ng'ombe akili zilishafyatuka....
... yaani ana biti la kiume kabisa mixer na sura yake yenye wimbi kama la uji.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huyo keshapindaAhahaha! Type yake ni mabaki ya mamwela wa enzi za Mwalimu wale waliosonga mbele Uganda kule mtukula..
Sura mbuzi tabasamu la ng'ombe akili zilishafyatuka.
Huyu kamanda huwa ananikosha sana yaani ana biti la kiume kabisa mixer na sura yake yenye wimbi kama la uji.
'"Chemical" AliKiboko alikuwa yule waziri Saddam Hussein wa Iraq,
Alikuwa anatisha majeshi ya marekani!
Nmemsahau jina
[emoji23][emoji23][emoji23] sura ya kazi mkuu☻☻☻☻☻Ahhhhh ila jamaa ana sura ya kazi sana. Heshima.
Nafurahigi sana nikimsikiliza huyu dingi akihoji watuhumiwa.Ni neno maarufu sana katika uzuiaji maandamano, ni neno ambalo limeweza kuzima kabisa maandamano ya Mange, ukali na sura ya ujasiri na kuongea kwa utashi alikotumia RPC wa Dodoma kuliweza kabisa kudumisha Amani siku ya tarehe 26.04.2018.
Kwa kutumia neno mbwa koko neno ambalo watanzania hawakulala siku ya tarehe 25 kwa kuhofia kipigo toka jeshi la Police.
RPC wa Dodoma ndiye aliyeweza kufanya mpaka dodoma ikawa jiji kwani alifanya kazi nzuri sana ya kuzima maandamano.
Sasa neno "MBWA KOKO" maana yake ni watu au mtu yeyote anaefanya maandamano ya kuvuruga amani na yasiyo na kibali. Nadhani hakuna Mtanzania anapenda kuwa mbwa koko
Hahahaahahah muroto ni hatari weka mbali na mange
Sawasawa, aiseh yule alikuwa noumaa sana'"Chemical" Ali