Ndoto za mchana zina ukweli

XII Tz

JF-Expert Member
Aug 16, 2020
4,293
6,957
Habari wakuu

Wataalamu wa kutafsiri ndoto, nina swali kwenu. Je ndoto anazoota mtu mchana akiwa amelala zina ukweli wowote kama zile za usiku.

Maana kuna ndoto nimeota (nisingependa kuhadithia) imetinisha na kuninyima raha mpaka muda huu, Je ndoto za mchana zina ukweli?
 
Maana kuna ndoto nimeota ( nisingependa kuhadithia ) imetinisha na kuninyima raha mpaka muda huu, Je ndoto za mchana zina ukweli ?.
Tayari.... Ushavuliwa Ubingwa..... Itakuwa kweli.
 
Binafsi yangu mambo mengi Mungu ananifunuliaga mchana. Ikitokea nimelala, though its rare...
 
Habari wakuu

Wataalamu wa kutafsiri ndoto, nina swali kwenu. Je ndoto anazoota mtu mchana akiwa amelala zina ukweli wowote kama zile za usiku.

Maana kuna ndoto nimeota (nisingependa kuhadithia) imetinisha na kuninyima raha mpaka muda huu, Je ndoto za mchana zina ukweli?
Ndio,ingia KWENYE maombi
 
Back
Top Bottom