Tafsiri ya hili andiko la Mungu kwa wanadamu..

..mkamate sana elimu, usimuache aende zake..

Najiuliza sana hapa anazungumzia elimu kama elimu au kuna nafsi inazungumziwa? kwanini aseme "M"kamate.. "U"simuache.. "A"ende zake.. ni nani huyu tusimuache?

Karibu tujadili

Mkuu bible ilikuwa katika lugha ya kiyahudi watu wa mwanzo kutafsiri bible katika lugha ambayo iko nje ya eneo la mashariki ya kati walikuwa wagiriki sasa jiulize mwenyewe, makosa mangapi yalitokea kwa kuitafisi biblia kutoka kiyahudi kwenda kigiriki, halafu kutoka kigiriki kwenda kingereza mpaka imefikia kiswahili kwa maana hiyo kuna makosa mengi sana ya binaadamu kwenye biblia

Tuchulie mfano kiswahili cha mjini unaweza kumuliza rafiki yako "mzee vipi,poaaa" lakini hapo mzee haimanishi yule rafiki yako ni mtu mzima,au ana miaka mingi,,,,.makosa kama "lord" bwana lakini neno "lord" linaweza kutafsiriwa ni mungu ;)
 
Mkuu bible ilikuwa katika ligha ya kiyahudi watu wa mwanzo kutafsiri bible katika lugha ambyo iko nje ya eneo la mashariki ya kati nyengine walikuwa wagiriki sasa jiulize mwenyewe makosa mangapi yalitokkea kwa kuitafisi biblia kutoka kiyahudi kwenda kigiriki, halaffu kutoka kigiriki kwenda kingereza mapaka imefikia kiswahili kwa maana hiyo kuna makosa mengi sana ya binaadamu kwenye biblia

Tuchulie mfano kiswahili cha mjini unaweza kumuliza rafiki yako "mzee vipi,poaaa" lakini hapo mzee haimanishi yule rafiki yako ni mtu mzima,au ana miaka mingi,,,,.makosa kama "lord" bwana lakini neno "lord" linaweza kutafsiriwa ni mungu ;)

Naomba nipingane na wewe kwamba kumekuwa na makosa mengi katika kutafsiri Biblia, kumbuka hata Yesu mwenyewe alikuwa akifundisha na kuhubiri sana kwa mafumbo na mifano. Anahitajika Roho Mtakatifu katika kusoma na kupata maana kusudiwa katika kila mstari wa Kitabu hiko Kitakatifu, mstari mmoja unaweza ukawa na maana nyingi tu kadiri ya kusudio la Mungu japo kunakuwaga na kiini cha ujumbe wenyewe.

Mleta mada huo mstari kwa namna ulivyo uchambua nashuhudiwa kusema kwamba nahisi pia kuna maana zaidi ya ile niliyokuwa naifahamu ambayo ni ya huyu elimu wetu wa kawaida (formal/informal).

Nikaribishe wadau wengine na mimi nikiendelea kutafakari.
 
Wakati tunasubiri wadau wengine waje kuchangia, naomba tuangalie huo mstari wa Mithali 4:13 katika matoleo mbalimbali ya Biblia.

Proverbs 4:13 ASVAmerican Standard Version
Take fast hold of instruction; Let her not go: Keep her; For she is thy life.

Proverbs 4:13 BBEBible in Basic English
Take learning in your hands, do not let her go: keep her, for she is your life.

Proverbs 4:13 CEBCommon English Bible
Hold on to instruction; don't slack off; protect it, for it is your life.

Proverbs 4:13 CJBComplete Jewish Bible
Hold fast to discipline, don't let it go; guard it, for it is your life.

Proverbs 4:13 RHEDouay-Rheims
Take hold on instruction, leave it not: keep it, because it is thy life.

Proverbs 4:13 ESVEnglish Standard Version
Keep hold of instruction; do not let go; guard her, for she is your life.

Proverbs 4:13 GWGOD'S WORD Translation
Cling to discipline. Do not relax your grip on it. Keep it because it is your life.

Proverbs 4:13 GNTGood News Translation
Always remember what you have learned. Your education is your life - guard it well.

Proverbs 4:13 HNVHebrew Names Version
Take firm hold of instruction. Don't let her go. Keep her, for she is your life.

Proverbs 4:13 CSBHolman Christian Standard
Hold on to instruction; don't let go. Guard it, for it is your life.

Proverbs 4:13 KJVKing James Version
Take fast hold of instruction; let her not go : keep her; for she is thy life.

Proverbs 4:13 LEBLexham English Bible
Seize the instruction! Do not let go! Guard her, for she is your life.

Proverbs 4:13 NASNew American Standard
Take hold of instruction ; do not let go. Guard her, for she is your life.

Proverbs 4:13 NCVNew Century Version
Always remember what you have been taught, and don't let go of it. Keep all that you have learned; it is the most important thing in life.

Proverbs 4:13 NIRVNew International Reader's Version
Hold on to my teaching. Don't let it go. Guard it well. It is your life.

Proverbs 4:13 NIVNew International Version
Hold on to instruction, do not let it go; guard it well, for it is your life.

Proverbs 4:13 NKJVNew King James Version
Take firm hold of instruction, do not let go; Keep her, for she is your life.

Proverbs 4:13 NLTNew Living Translation
Carry out my instructions; don't forsake them. Guard them, for they will lead you to a fulfilled life.

Proverbs 4:13 NRSNew Revised Standard

Proverbs 4:13 RSVRevised Standard Version
Keep hold of instruction, do not let go; guard her, for she is your life.

Proverbs 4:13 DBYThe Darby Translation
Take fast hold of instruction, let [her] not go: keep her, for she is thy life.

Proverbs 4:13 MSGThe Message
Hold tight to good advice; don't relax your grip. Guard it well - your life is at stake!

Proverbs 4:13 WBTThe Webster Bible
Take fast hold of instruction; let [her] not go: keep her; for she [is] thy life.

Proverbs 4:13 TMBThird Millennium Bible
Hold fast to instruction, let her not go; keep her, for she is thy life.

Proverbs 4:13 TNIVToday's New International Version

Proverbs 4:13 WEBWorld English Bible

Proverbs 4:13 WYCWycliffe
Hold thou (fast to my) teaching, and forsake [thou] it not; keep thou it (near), for it is thy life.

Proverbs 4:13 YLTLay hold on instruction, do not desist, Keep her, for she [is] thy life.

Hapo ikumbukwe kwamba wote hao wameandika kiingereza tu, naongelea point ya chabuso
 
Last edited by a moderator:

The point ni kwamba the first bible should supposedly be written in jewish language but apparently even the Hebrew bible was translated from the greek version. My concern is how can we say which one is the correct version if we dont have the original bible(original jewish bible) not a greek bible which is now considered the original version.
so this exercise could be futile. Roho mtakatifu alitakiwa alitatuwe hili tatizo kipindi kirefu sana .
 
Mkuu naona umejijibu mwenyewe,naongea kigiriki kidogo lakini sijui hata neno moja la kiyahudi,katika kufahamu kwangu lugha ya kiyahudi iko tafauti na lugha ya kigiriki,sasa fikiria hao waty wamwanzo waliotafsiri lugha moja kwenda nyengine wamefanya makosa mangapi
 
Licha ya hayo yanayoitwa makosa yaliyopo kwenye Biblia, haipotezi lengo lake kuu la kuwaleta watu karibu na Mungu.
Neno la Mungu li hai, na linafaa kwa mafundisho. Ndio maana tunaposoma Biblia tunaangalia ilikua ni wakati gani, na tunajifunza nini kutokana na hayo maandiko?

Hakuna andiko lenye kumaanisha kitu kimoja kwa kila mtu, tafsiri yake ni kwa kadri Roho Mtakatifu anavyomjalia anayejifunza.
Ukiangalia hapo, elimu imeelezewa kama ufaham, hekima, maarifa n.k kwenye hizo tafsiri mbalimbali za Biblia.
 
Mkuu,nikuulize nini hasa maana ya ROHO MTAKATIFU..

Je Kwa lugha ya Kiingereza utatafsiri vipi hili neno ROHO MTALATIFU
 
Kwa wakristo wanaoamini utatu mtakatifu, Roho Mtakatifu ni nafsi ya tatu inayowawezesha wanaoamini kuishi maisha ya kumpendeza Mungu.

Kiingereza ni Holy Spirit.
 
Licha ya hayo yanayoitwa makosa yaliyopo kwenye Biblia, haipotezi lengo lake kuu la kuwaleta watu karibu na Mungu.
Neno la Mungu li hai, na linafaa kwa mafundisho. Ndio maana tunaposoma Biblia tunaangalia ilikua ni wakati gani, na tunajifunza nini kutokana na hayo maandiko?

Hakuna andiko lenye kumaanisha kitu kimoja kwa kila mtu, tafsiri yake ni kwa kadri Roho Mtakatifu anavyomjalia anayejifunza.
Ukiangalia hapo, elimu imeelezewa kama ufaham, hekima, maarifa n.k kwenye hizo tafsiri mbalimbali za Biblia.
Kweli..
Hivi unajua kuwa Biblia ni mchanganyiko wa vitabu vilivyoandikwa na watu tafauti?

Hivi unajua Biblia ya King James ambayo ni maarufu Zaidi ina mkusanyiko WA vitabu 66 na Biblia ya nyingine ina vitabu 70 ?

Hivi unajua kuwa kitabu cha Mark katika Biblia hakuandikwa na Mark

Kitabu cha Matthew aka Matayo hakikuandikwa na Matthew NK

Ndio hivyo ilivyo kwenye hichi kitabu kinachoitwa kitakatifu..
 
Haya mambo hatuwezi wote kujua kwa kiwango kile kile mkuu. Inaelekea wewe uko na uelewa zaidi.

Kwa ufupi, naelewa kwamba Biblia ni mkusanyiko wa vitavu vilivyoandikwa na waandishi tofauti. Wakaja wengine wakatafsiri na kuviweka pamoja. Sasa hapo kila kundi limekuja na toleo lao kulingana na lengo lao. Wengine wameacha baadhi ya vitabu, maneno na wengine wameongezea vitu.

Na ilifikia mahali wakakubaliana kwamba hapo hawataendeleza tena zoezi la uandishi wa Biblia, inamaana hata sasa hivi watu wagundue mahali maandiko yanayosadikiwa kwamba yaliandikwa enzi za manabii kuhusu habari za Mungu na watu wake, hakitaongezwa kwenye Biblia iliyopo.

Watu waliotafsiri na kukusanya maandiko mbalimbali kupata Biblia walikua na vigezo vyao kuamua kitabu gani wakichukue na kipi wakiache.
 
Wakati tunasubiri wadau wengine waje kuchangia, naomba tuangalie huo mstari wa Mithali 4:13 katika matoleo mbalimbali ya Biblia.

Proverbs 4:13 ASVAmerican Standard Version
Take fast hold of instruction; Let her not go: Keep her; For she is thy life.

Proverbs 4:13 BBEBible in Basic English
Take learning in your hands, do not let her go: keep her, for she is your life.

Proverbs 4:13 CEBCommon English Bible
Hold on to instruction; don't slack off; protect it, for it is your life.

Proverbs 4:13 CJBComplete Jewish Bible
Hold fast to discipline, don't let it go; guard it, for it is your life.

Proverbs 4:13 RHEDouay-Rheims
Take hold on instruction, leave it not: keep it, because it is thy life.

Proverbs 4:13 ESVEnglish Standard Version
Keep hold of instruction; do not let go; guard her, for she is your life.

Proverbs 4:13 GWGOD'S WORD Translation
Cling to discipline. Do not relax your grip on it. Keep it because it is your life.

Proverbs 4:13 GNTGood News Translation
Always remember what you have learned. Your education is your life - guard it well.

Proverbs 4:13 HNVHebrew Names Version
Take firm hold of instruction. Don't let her go. Keep her, for she is your life.

Proverbs 4:13 CSBHolman Christian Standard
Hold on to instruction; don't let go. Guard it, for it is your life.

Proverbs 4:13 KJVKing James Version
Take fast hold of instruction; let her not go : keep her; for she is thy life.

Proverbs 4:13 LEBLexham English Bible
Seize the instruction! Do not let go! Guard her, for she is your life.

Proverbs 4:13 NASNew American Standard
Take hold of instruction ; do not let go. Guard her, for she is your life.

Proverbs 4:13 NCVNew Century Version
Always remember what you have been taught, and don't let go of it. Keep all that you have learned; it is the most important thing in life.

Proverbs 4:13 NIRVNew International Reader's Version
Hold on to my teaching. Don't let it go. Guard it well. It is your life.

Proverbs 4:13 NIVNew International Version
Hold on to instruction, do not let it go; guard it well, for it is your life.

Proverbs 4:13 NKJVNew King James Version
Take firm hold of instruction, do not let go; Keep her, for she is your life.

Proverbs 4:13 NLTNew Living Translation
Carry out my instructions; don't forsake them. Guard them, for they will lead you to a fulfilled life.

Proverbs 4:13 NRSNew Revised Standard
Keep hold of instruction; do not let go; guard her, for she is your life.

Proverbs 4:13 RSVRevised Standard Version
Keep hold of instruction, do not let go; guard her, for she is your life.

Proverbs 4:13 DBYThe Darby Translation
Take fast hold of instruction, let [her] not go: keep her, for she is thy life.

Proverbs 4:13 MSGThe Message
Hold tight to good advice; don't relax your grip. Guard it well - your life is at stake!

Proverbs 4:13 WBTThe Webster Bible
Take fast hold of instruction; let [her] not go: keep her; for she [is] thy life.

Proverbs 4:13 TMBThird Millennium Bible
Hold fast to instruction, let her not go; keep her, for she is thy life.

Proverbs 4:13 TNIVToday's New International Version
Hold on to instruction, do not let it go; guard it well, for it is your life.

Proverbs 4:13 WEBWorld English Bible
Take firm hold of instruction. Don't let her go. Keep her, for she is your life.

Proverbs 4:13 WYCWycliffe
Hold thou (fast to my) teaching, and forsake [thou] it not; keep thou it (near), for it is thy life.

Proverbs 4:13 YLTLay hold on instruction, do not desist, Keep her, for she [is] thy life.

Hapo ikumbukwe kwamba wote hao wameandika kiingereza tu, naongelea point ya chabuso
Aiseee
 
Mkuu kwa maoni yangu ukisoma vizuri iyo mithali 4 yote na jaribu kuiunganisha na mithali 8 hasa kuanzia mstari wa 22 na kuendelea utapata kitu.
Ukianza na Mithali 4:11 ( Nimekufundisha kwa njia ya hekima.....) Utaona hapa anakwambia kwamba maarifa au ufahamu aliokupatia ni wa Hekima(hapa hekima anatajwa kama kitu flani chenye uwezo na nguvu).

Ndo chini yake (Mithali 4:13) anazidi kusisitiza kwamba huo ufahamu/utambuzi au maarifa(Elimu) aliyokupatia ambayo ni ya au inahusu uyu bwana Hekima uikamate husiache ikaenda zake maana kuikamata iyo Elimu ni kumkamata bwana Hekima.
Swali ni Je uyu hekima ni nani haswa? Ebu itizame Sura 8. Anaanza kwa kuuliza kwamba "Je hekima halii?......" Hapa anakuonesha kwamba hekima anatoa sauti ivyo ni kitu kilicho hai. Ukiendelea kusoma iyo mithali 8 unaona anatoa sifa za bwana Hekima, ukianzia 8:22 anasema"Bwana alikuwa nami katika mwanzo wa njia zake,......" Nenda tena 8:30" Ndipo nilipokuwa naye kama STADI wa kazi,......" Je Stadi wa kazi za bwana alikuwa nani? Tukisoma Yohana 1:3 inatwambia pasipo Neno hakuna kazi ya Bwana ambayo ingefanyika, kwa maana nyingine Neno ndo alikuwa STADI wa kazi za Bwana.

Hitimisho: Mithali 4:13 inakusihi husimwache Elimu ambaye ni Hekima ambaye ni Neno ambaye ni Yesu kristo.
 
Back
Top Bottom