Tafsiri sentensi hizi za 'tenses' kwenda kiingereza ujishindie Kitabu chetu cha JIFUNZE KIINGEREZA KWA KISWAHILI. Ni mojawapo ya vitabu vilivyovunja rekodi ya mauzo ndani ya muda mfupi sokoni.
1. Wimbo ulikuwa unaimbwa.
2. Wimbo ulikuwa ukiimbwa.
1. Has been (hali timilifu) haiwezi kuambatana na past tense sang. Inabidi kuwa "the song has been sung" na tafsiri yake ni " wimbo ume(sha)imbwa"1:The song has been sang
2: the song has been singing
Umezingia kidogo mkuu1:The song has been sang
2: the song has been singing
A song has been singing.Tafsiri sentensi hizi za 'tenses' kwenda kiingereza ujishindie Kitabu chetu cha JIFUNZE KIINGEREZA KWA KISWAHILI. Ni mojawapo ya vitabu vilivyovunja rekodi ya mauzo ndani ya muda mfupi sokoni.
1. Wimbo ulikuwa unaimbwa.
2. Wimbo ulikuwa ukiimbwa.
Unaongelea nini mkuu?A song has been singing.
A song had been singing
In making present perfect continuous tense we use has/have + main_ing.
But there is difference in making active sentence, I have read other tentences above which are actually based on active because being is used in making active or passive sentences that is why I decided to make clarifications. For example, juma writes a letter.(active)
A letter is written by juma. Passive.
Example 2 juma is writing a latter. Active.
A letter is being written by juma.
If you want to learn English I'm your solution.
Nimekuelewa mkuu tumia lugha nzuri ila ....Unaongelea nini mkuu?
A song has/had been singing - Wimbo umekuwa ukiimba? Tangu lini nyimbo zikaanza kuimba? Nawe unajiita mwalimu wa Kiingereza? You don't know and you don't know that you don't know (and this is very scary)
You are not a solution sir. YOU ARE PART OF THE PROBLEM and a perfect example of all what is wrong with our floundering educational system. Inasikitisha sana kwa kweli!
Hakuna neno. Nilighafilika kidogo ulipojigamba kwamba eti "You are the solution" kwa watu wanaotaka kujifunza Kiingereza. Nisamehe mkuu kama nilionekana kutumia lugha ya kukwaza. Tuko pamoja!Nimekuelewa mkuu tumia lugha nzuri ila ....
Hata hapa bado kuna matatizo mkuu. Tatizo la kwanza ni kwamba sentensi za mleta mada zipo katika wakati uliopita hali endelevu - Wimbo ULIKUWA u-na/ki-imbwa. Wewe hapa umetumia wakati uliopo hali timilifu (has been) na wakati uliopita hali timilifu (had been). Ni wazi kuwa hizi sentensi zako haziwezi kuwa tafsiri sahihi ya sentensi za mleta mada.The song has been sang
The song had been sang
Tafsiri sentensi hizi za 'tenses' kwenda kiingereza ujishindie Kitabu chetu cha JIFUNZE KIINGEREZA KWA KISWAHILI. Ni mojawapo ya vitabu vilivyovunja rekodi ya mauzo ndani ya muda mfupi sokoni.
1. Wimbo ulikuwa unaimbwa.
2. Wimbo ulikuwa ukiimbwa.
Tafsiri sentensi hizi za 'tenses' kwenda kiingereza ujishindie Kitabu chetu cha JIFUNZE KIINGEREZA KWA KISWAHILI. Ni mojawapo ya vitabu vilivyovunja rekodi ya mauzo ndani ya muda mfupi sokoni.
1. Wimbo ulikuwa unaimbwa.
2. Wimbo ulikuwa ukiimbwa.
2. The song was sung - Wimbo uliimbwa. Hakuna ile hali ya uendelevu (Wimbo ulikuwa ukiimbwa). Jipange upya mkuu.majibu haya hapa
1. The song was being sung
2. The song was sung.
2. The song was sung - Wimbo uliimbwa. Hakuna ile hali ya uendelevu (Wimbo ulikuwa ukiimbwa). Jipange upya mkuu.
Mkuu, tumeambiwa tutafsiri sentensi mbili.mkuu sentensi tu ya kiswahili imekosewa 'wimbo ulikuwa ukimbwa' ndo maana hata kingereza lazima iwe hivyo.
kama sio weka jibu
1. The song was being sung.
2. The song was being sung.
Kimsingi sentensi zote hizo zinamaanisha kitu kile kile isipokuwa katika sentensi ya pili kuna hali ya uendelevu wa kitendo yaani uimbaji wa huo wimbo umekuwa ukiendelea kwa muda mrefu. Kiingereza hakina uwezo wa kutofautisha "aspects" hizi za kitendo kinachoendelea kwa hivyo sentensi zote mbili zitakuwa na tafsiri moja. Kuipata dhana ya uendelevu katika sentensi ya pili itabidi kutegemea vitu vingine kama muktadha n.k.
Calm down mkuu. Hayo ya "we kichwa" yanatoka wapi tena mkuu? Mimi nilidhani kuwa tunaelimishana tu na lugha hii imekuja na meli na siyo yetu. Ni lazima kweli tugombane?upo sahihi mkuu we 'kichwa' (unaakili)
1. The song was being sung.
2. The song was being sung.
so sentesi zina translation moja ya kingereza, bravo