Tafsiri sentensi hizi za 'tenses'


mr mkiki

mr mkiki

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2016
Messages
3,307
Likes
6,577
Points
280
mr mkiki

mr mkiki

JF-Expert Member
Joined Sep 22, 2016
3,307 6,577 280
Tafsiri sentensi hizi za 'tenses' kwenda kiingereza ujishindie Kitabu chetu cha JIFUNZE KIINGEREZA KWA KISWAHILI. Ni mojawapo ya vitabu vilivyovunja rekodi ya mauzo ndani ya muda mfupi sokoni.

1. Wimbo ulikuwa unaimbwa.

2. Wimbo ulikuwa ukiimbwa.
 
SHIMBA YA BUYENZE

SHIMBA YA BUYENZE

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2014
Messages
89,944
Likes
440,288
Points
280
SHIMBA YA BUYENZE

SHIMBA YA BUYENZE

JF-Expert Member
Joined Dec 22, 2014
89,944 440,288 280
Tafsiri sentensi hizi za 'tenses' kwenda kiingereza ujishindie Kitabu chetu cha JIFUNZE KIINGEREZA KWA KISWAHILI. Ni mojawapo ya vitabu vilivyovunja rekodi ya mauzo ndani ya muda mfupi sokoni.

1. Wimbo ulikuwa unaimbwa.

2. Wimbo ulikuwa ukiimbwa.
1. The song was being sung.

2. The song was being sung.

Kimsingi sentensi zote hizo zinamaanisha kitu kile kile isipokuwa katika sentensi ya pili kuna hali ya uendelevu wa kitendo yaani uimbaji wa huo wimbo umekuwa ukiendelea kwa muda mrefu. Kiingereza (hasa cha Kimarekani) hakina uwezo wa kutofautisha "aspects" hizi za kitendo kinachoendelea kwa hivyo sentensi zote mbili zitakuwa na tafsiri moja. Kuipata dhana ya uendelevu katika sentensi ya pili itabidi kutegemea vitu vingine kama muktadha n.k.
 
SHIMBA YA BUYENZE

SHIMBA YA BUYENZE

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2014
Messages
89,944
Likes
440,288
Points
280
SHIMBA YA BUYENZE

SHIMBA YA BUYENZE

JF-Expert Member
Joined Dec 22, 2014
89,944 440,288 280
1:The song has been sang
2: the song has been singing
1. Has been (hali timilifu) haiwezi kuambatana na past tense sang. Inabidi kuwa "the song has been sung" na tafsiri yake ni " wimbo ume(sha)imbwa"

2. Kisemantiki haina maana kwa sababu wimbo hauwezi kuimba. Tafsiri ya sentensi yako ni "wimbo umekuwa ukiimba" kitu ambacho hakiwezekani isipokuwa pengine kwenye matumizi ya kisanaa kama kwenye ushairi na kwingineko.
 
Thomasj

Thomasj

Member
Joined
Nov 13, 2016
Messages
10
Likes
6
Points
5
Age
27
Thomasj

Thomasj

Member
Joined Nov 13, 2016
10 6 5
1:The song has been sang
2: the song has been singing
Umezingia kidogo mkuu
The song has been singing ....reason a sentence is present perfect continuous.
Second
The song had been singing
Past perfect continuous
 
Thomasj

Thomasj

Member
Joined
Nov 13, 2016
Messages
10
Likes
6
Points
5
Age
27
Thomasj

Thomasj

Member
Joined Nov 13, 2016
10 6 5
Tafsiri sentensi hizi za 'tenses' kwenda kiingereza ujishindie Kitabu chetu cha JIFUNZE KIINGEREZA KWA KISWAHILI. Ni mojawapo ya vitabu vilivyovunja rekodi ya mauzo ndani ya muda mfupi sokoni.

1. Wimbo ulikuwa unaimbwa.

2. Wimbo ulikuwa ukiimbwa.
A song has been singing.
A song had been singing
In making present perfect continuous tense we use has/have + main_ing.
But there is difference in making active sentence, I have read other tentences above which are actually based on active because being is used in making active or passive sentences that is why I decided to make clarifications. For example, juma writes a letter.(active)
A letter is written by juma. Passive.

Example 2 juma is writing a latter. Active.
A letter is being written by juma.If you want to learn English I'm your solution.
 
SHIMBA YA BUYENZE

SHIMBA YA BUYENZE

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2014
Messages
89,944
Likes
440,288
Points
280
SHIMBA YA BUYENZE

SHIMBA YA BUYENZE

JF-Expert Member
Joined Dec 22, 2014
89,944 440,288 280
A song has been singing.
A song had been singing

In making present perfect continuous tense we use has/have + main_ing.
But there is difference in making active sentence, I have read other tentences above which are actually based on active because being is used in making active or passive sentences that is why I decided to make clarifications. For example, juma writes a letter.(active)
A letter is written by juma. Passive.

Example 2 juma is writing a latter. Active.
A letter is being written by juma.

If you want to learn English I'm your solution.
Unaongelea nini mkuu?

A song has/had been singing - Wimbo umekuwa ukiimba? Tangu lini nyimbo zikaanza kuimba? Nawe unajiita mwalimu wa Kiingereza? You don't know and you don't know that you don't know (and this is very scary)

You are not a solution sir. YOU ARE PART OF THE PROBLEM and a perfect example of all what is wrong with our floundering educational system. Inasikitisha sana kwa kweli!
 
Thomasj

Thomasj

Member
Joined
Nov 13, 2016
Messages
10
Likes
6
Points
5
Age
27
Thomasj

Thomasj

Member
Joined Nov 13, 2016
10 6 5
Unaongelea nini mkuu?

A song has/had been singing - Wimbo umekuwa ukiimba? Tangu lini nyimbo zikaanza kuimba? Nawe unajiita mwalimu wa Kiingereza? You don't know and you don't know that you don't know (and this is very scary)

You are not a solution sir. YOU ARE PART OF THE PROBLEM and a perfect example of all what is wrong with our floundering educational system. Inasikitisha sana kwa kweli!
Nimekuelewa mkuu tumia lugha nzuri ila ....
 
Thomasj

Thomasj

Member
Joined
Nov 13, 2016
Messages
10
Likes
6
Points
5
Age
27
Thomasj

Thomasj

Member
Joined Nov 13, 2016
10 6 5
The song has been sang
The song had been sang
 
SHIMBA YA BUYENZE

SHIMBA YA BUYENZE

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2014
Messages
89,944
Likes
440,288
Points
280
SHIMBA YA BUYENZE

SHIMBA YA BUYENZE

JF-Expert Member
Joined Dec 22, 2014
89,944 440,288 280
Nimekuelewa mkuu tumia lugha nzuri ila ....
Hakuna neno. Nilighafilika kidogo ulipojigamba kwamba eti "You are the solution" kwa watu wanaotaka kujifunza Kiingereza. Nisamehe mkuu kama nilionekana kutumia lugha ya kukwaza. Tuko pamoja!
 
SHIMBA YA BUYENZE

SHIMBA YA BUYENZE

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2014
Messages
89,944
Likes
440,288
Points
280
SHIMBA YA BUYENZE

SHIMBA YA BUYENZE

JF-Expert Member
Joined Dec 22, 2014
89,944 440,288 280
The song has been sang
The song had been sang
Hata hapa bado kuna matatizo mkuu. Tatizo la kwanza ni kwamba sentensi za mleta mada zipo katika wakati uliopita hali endelevu - Wimbo ULIKUWA u-na/ki-imbwa. Wewe hapa umetumia wakati uliopo hali timilifu (has been) na wakati uliopita hali timilifu (had been). Ni wazi kuwa hizi sentensi zako haziwezi kuwa tafsiri sahihi ya sentensi za mleta mada.

The song has been sang - Wimbo umeimbwa/Wimbo umekuwa unaimbwa? (sentensi mama - Wimbo ULIKUWA unaimbwa)

The song had been sang - Wimbo ume(sha?)imbwa/Wimbo umekuwa u-na/ki-imbwa? (sentensi mama - Wimbo ULIKUWA ukiimbwa)

Tatizo la pili ni kwamba kwa kawaida hali timilifu (has been, had been) huwa haiambatani na wakati uliopita kama ulivyofanya hapa. Mf. Chakula kimeliwa hatuwezi kutafsiri kama "*The food has been ate" bali "The food has been eaten". Hali kadhalika Wimbo umeimbwa hatuwezi kusema "The song has/had been sang" bali "The song has/had been sung" .

Bado naendelea kuamini kuwa tafsiri niliyoitoa katika comment #3 ndiyo tafsiri sahihi na yenye maelezo yanayojitosheleza zaidi.

Mleta mada upo? Wewe unasemaje? Mbona umetutelekeza mimi na Thomasj?
 
mwambadog

mwambadog

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Messages
1,750
Likes
1,403
Points
280
mwambadog

mwambadog

JF-Expert Member
Joined Dec 11, 2012
1,750 1,403 280
Tafsiri sentensi hizi za 'tenses' kwenda kiingereza ujishindie Kitabu chetu cha JIFUNZE KIINGEREZA KWA KISWAHILI. Ni mojawapo ya vitabu vilivyovunja rekodi ya mauzo ndani ya muda mfupi sokoni.

1. Wimbo ulikuwa unaimbwa.

2. Wimbo ulikuwa ukiimbwa.
majibu haya hapa
1. The song was being sung.
2. The song was sung.
 
johnson meki

johnson meki

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2016
Messages
1,916
Likes
1,029
Points
280
johnson meki

johnson meki

JF-Expert Member
Joined Jul 2, 2016
1,916 1,029 280
the song was being sung

the song had been sung
 
mwambadog

mwambadog

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Messages
1,750
Likes
1,403
Points
280
mwambadog

mwambadog

JF-Expert Member
Joined Dec 11, 2012
1,750 1,403 280
Tafsiri sentensi hizi za 'tenses' kwenda kiingereza ujishindie Kitabu chetu cha JIFUNZE KIINGEREZA KWA KISWAHILI. Ni mojawapo ya vitabu vilivyovunja rekodi ya mauzo ndani ya muda mfupi sokoni.

1. Wimbo ulikuwa unaimbwa.

2. Wimbo ulikuwa ukiimbwa.
mkuu nipatie hio zawadi maana pekee nimepata kati ya wote. angalia hapo juu jibu
 
SHIMBA YA BUYENZE

SHIMBA YA BUYENZE

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2014
Messages
89,944
Likes
440,288
Points
280
SHIMBA YA BUYENZE

SHIMBA YA BUYENZE

JF-Expert Member
Joined Dec 22, 2014
89,944 440,288 280
majibu haya hapa
1. The song was being sung
2. The song was sung.
2. The song was sung - Wimbo uliimbwa. Hakuna ile hali ya uendelevu (Wimbo ulikuwa ukiimbwa). Jipange upya mkuu.
 
mwambadog

mwambadog

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Messages
1,750
Likes
1,403
Points
280
mwambadog

mwambadog

JF-Expert Member
Joined Dec 11, 2012
1,750 1,403 280
2. The song was sung - Wimbo uliimbwa. Hakuna ile hali ya uendelevu (Wimbo ulikuwa ukiimbwa). Jipange upya mkuu.
mkuu sentensi tu ya kiswahili imekosewa 'wimbo ulikuwa ukimbwa' ndo maana hata kingereza lazima iwe hivyo.

kama sio weka jibu
 
SHIMBA YA BUYENZE

SHIMBA YA BUYENZE

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2014
Messages
89,944
Likes
440,288
Points
280
SHIMBA YA BUYENZE

SHIMBA YA BUYENZE

JF-Expert Member
Joined Dec 22, 2014
89,944 440,288 280
mkuu sentensi tu ya kiswahili imekosewa 'wimbo ulikuwa ukimbwa' ndo maana hata kingereza lazima iwe hivyo.

kama sio weka jibu
Mkuu, tumeambiwa tutafsiri sentensi mbili.

1. Wimbo ulikuwa unaimbwa
2. Wimbo ulikuwa ukiimbwa

So wewe unadai sentensi hizi zimekosewa na mleta mada na wewe unaleta sentensi zako mpya? Ina maana ungekutana na sentensi hizi kwenye mtihani ungesema kuwa mtunga swali kakosea na wewe ungerekebisha na kuweka sentensi zako? Umenichekesha sana mkuu!

Jibu langu lipo comment # 3 na comments zingine zinazofuatia.
 
mwambadog

mwambadog

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Messages
1,750
Likes
1,403
Points
280
mwambadog

mwambadog

JF-Expert Member
Joined Dec 11, 2012
1,750 1,403 280
1. The song was being sung.

2. The song was being sung.

Kimsingi sentensi zote hizo zinamaanisha kitu kile kile isipokuwa katika sentensi ya pili kuna hali ya uendelevu wa kitendo yaani uimbaji wa huo wimbo umekuwa ukiendelea kwa muda mrefu. Kiingereza hakina uwezo wa kutofautisha "aspects" hizi za kitendo kinachoendelea kwa hivyo sentensi zote mbili zitakuwa na tafsiri moja. Kuipata dhana ya uendelevu katika sentensi ya pili itabidi kutegemea vitu vingine kama muktadha n.k.
upo sahihi mkuu we 'kichwa' (unaakili)

1. The song was being sung.

2. The song was being sung.

so sentesi zina translation moja ya kingereza, bravo
 
Ndetirima

Ndetirima

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2011
Messages
955
Likes
239
Points
60
Ndetirima

Ndetirima

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2011
955 239 60
Past continuous tense and past tense
 
SHIMBA YA BUYENZE

SHIMBA YA BUYENZE

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2014
Messages
89,944
Likes
440,288
Points
280
SHIMBA YA BUYENZE

SHIMBA YA BUYENZE

JF-Expert Member
Joined Dec 22, 2014
89,944 440,288 280
upo sahihi mkuu we 'kichwa' (unaakili)

1. The song was being sung.

2. The song was being sung.

so sentesi zina translation moja ya kingereza, bravo
Calm down mkuu. Hayo ya "we kichwa" yanatoka wapi tena mkuu? Mimi nilidhani kuwa tunaelimishana tu na lugha hii imekuja na meli na siyo yetu. Ni lazima kweli tugombane?

Kuhusu sentensi hizo kuwa na tafsiri moja soma maelezo yangu kwenye comment # 3. Kwenye vitenzi vya lugha kuna kitu kinaitwa "aspect". Huu ni uwezo wa lugha kuelezea kitendo kinavyotendeka (kimemalizika? kinaendelea? kimekuwa kikiendelea kwa muda gani? kitaendelea mpaka lini? N.k). Lugha nyingi za Kibantu, kwa mfano, zina uwezo mkubwa wa kuelezea aspects mbalimbali za kitendo kuliko Kiingereza. Tofauti ya hizo sentensi mbili hapo juu (Wimbo ulikuwa unaimbwa na wimbo ulikuwa ukiimbwa) ni aspects tu kwa sababu katika sentensi namba mbili kitendo cha uimbaji kimekuwa kikiendelea kwa muda mrefu. Vinginevyo sentensi zote ziko sawa kabisa. Hoja yangu ni kwamba Kiingereza hakina njia ya kuonyesha aspect hii ya uendelevu katika sentensi ya pili ndiyo maana sentensi zote zitakuwa na tafsiri moja. Ili kujua huo uendelevu katika sentensi ya pili itabidi uangalie mazingira ya matumizi (muktadha wake).

Badala ya kusoma na kuelewa hoja yangu (na kuijibu) wewe umeghafilika na kuishia kutoa povu. Halafu unaishia kudai kuwa hizo sentensi zimekosewa na mleta mada.

Elimu haina mwisho mkuu na tusichukulie kila jambo kuwa ni ushindani kuwa huyu kashinda nami nimeshindwa. Hatupo hapa kuonyeshana yupi anajua sana bali kuelimishana. Ukianza tabia ya kuikabili mijadala kwa lengo la kujifunza (na siyo kushindana) aisee utafaidika sana.

Asante mkuu na samahani tena kama nimekukwaza!
 

Forum statistics

Threads 1,272,651
Members 490,095
Posts 30,456,080