TAFITI: Watu wafupi wana wivu, gubu na ni wagomvi tofauti na watu warefu, lakini...

nguli tusaidie ufupi unaanzia futi ngapi au cm ngapi ndo tuendelee na hii mada kwa kuwa ufupi wa kitu lazima uwe na reference ya kitu kingine.

Plz nisaidie ufupi maana yake nini hasa kwa binadamu?na unaanzia futi ngapi kuhitimisha kuwa huyu ni mfupi?

cm < 160 huyu ni mfupi, cm 170> urefu wa wastani na cm 190> huyu ni tall where ar u? Kabla hamjanitupia mawe??
 
If 6feet 2 is short, then I am short! Unajua ukiongea kuhusu ufupi lazima pia uangalie ni jamii ipi unayotoka. Kwetu, mtu mwenye futi sita kama mimi hahesabiki kuwa ni mrefu, lakini ningekuwa Mruguru au mpare, let alone mchaga wa rombo mbona watu wangeniita ngongoti..

Ukicheza kwenye NBA utahesabika mfupi!

Amandla......
 
Hmmm...basi Dilunga atakuwa mfupi....Mwanakijiji lazima atakuwa around 5'2....Fundi...hehehe...huyu atakuwa yuko 5'0.

Mbona unanipendelea? Nilisema futi tano nagusa nikivaa raizoni! Bila shaka Hasheem namfikia kwenye magoti!

Proudly short!

Amandla........
 
Last edited by a moderator:
Pengine ungehamia kwenye misitu ya Kongo! Kule ungepewa uchifu kwa sababu ungeonekana jayant! Ufupi ni relative na uko mwachoni mwa mwangaliaji.

Lol........

Ntahamia huko msituni na Mze Mwinyi, Vita Kawawa, Mizengo, Mze Kawawa, Waz. Malima nk.

Kazi iko mtu akiwa na ufupi wa fikra, wengi wa watanzania tutabidi tuhamie msitu wa kongo na siberia
 
Sifa nyingine ya hawa wanaume wafupi nasikia wana ujuzi kwenye mambo ya kikubwa, sijui kuna ukweli wowote?
 
Sidhani kama huu mjadala umekuwa na mafanikio yoyote, hii ni kudhihirisha tu kuwa tatizo siyo ufupi wala urefu wa kimo, tatizo ni fikra zilizotawala ubongo wako. Kwa kuwa mtu mfupi hana control ya kimo chake, kadhalika mrefu pia, mjadala una maana gani zaidi ya kujaribu kuendeleza stereotypes?
 
Sidhani kama huu mjadala umekuwa na mafanikio yoyote, hii ni kudhihirisha tu kuwa tatizo siyo ufupi wala urefu wa kimo, tatizo ni fikra zilizotawala ubongo wako. Kwa kuwa mtu mfupi hana control ya kimo chake, kadhalika mrefu pia, mjadala una maana gani zaidi ya kujaribu kuendeleza stereotypes?

...na kweli, maana tatizo vijitu vifupi navifananisha na 'vimbwenelehi!'
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom