TAFITI: Watu wafupi wana wivu, gubu na ni wagomvi tofauti na watu warefu, lakini...

Wakuu.
Mwenyezi Mungu Muumba mbingu na nchi atusamehe dhambi zetu lakini binadamu wenzetu watu wafupi.
Watu wafupi kwanza wanaviburi, sio waelewa na hua wanajitutumua hata kwenye mambo wasiyoyaweza.
Watu wafupi hua wanalalamika sana na kwenye mambo mengi wanahisi wanaonewa wakati sio kweli.
Watu wafupi hua ninashindwa kuwaelewa hawa ndugu zetu.
Kiongozi. nan mfupi kakukera?

Naona umeenda kufukua nyuzi ya zaidi ya miaka 10 iliopita

Mwisho wa mwezi unakaribia huu....baba mwenye nyumba kafanya yake nini?
 
Mi mfupi ila najua urefu wangu upo mguu wa kati,pia unaweza ukawa tolu ila bdo zezeta mim had leo nkimtaka dem hachomoi na situmii pesa bali ni kugundua vitu vya kumfanya mtu aweze fall in love pia swala la hasira lipo kwa kila binadam hakuna anaependa kudharauliwa iwe na mpenz wake ama mtu yeyote kwaio nawapa sapoti wafupi wenzangu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom