Tafiti: Wanaume wenye ndoa hawafanyi style Hii

Tafiti: Wanaume wenye ndoa hawafanyi style Hii

Kijakazi

Platinum Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
10,747
Reaction score
18,629
Tafiti zilizofanywa hv karibuni ambapo nilikuwa nawaliza wanawake mmoja mmoja zimeonyesha kwamba Wanawake wengi ambao wako kwenye ndoa wamesema ya kwamba Waume zao wakati wa tendo la ndoa huwa hawawabadilishii style, yaani wamesema kwamba Waume zao huwa ni style moja tu basi halafu mchezo umeisha, kuna wengine hata walisema tangu wameolewa style ya mbwa kachoka ama dog style huwa wanaona picha na kusikia kwa watu tu, lkn waume zao hawajawahi kuwafanyia!

Nilipowaliza ni style gani mmeo hupendelea, wengi walijibu ya kwamba Waume zao wanapenda style ya kulala chali tu yaani yeye (mwanamke) anaangalia dali na mumewe kuwa juu yake, wengi sana kwa kweli wameonyesha kukerwa sana na halii hii sema ndiyo hivyo wafanyeje inabidi tu wavulimie maisha yaende!


Nilipowauliza ni tatizo gani lingine huwakera, wengi walisema kusinyaa kwa uume wa Waume zao wakati bado wao hawajaridhika, wamesema hili ndio namba moja kwa ukeraji!

Naendelea kufanya tafiti na nitaleta Majibu kadiri siku zinavyozidi kwenda ili wote tubadilke na tuweze kufurahia Maisha!
 
Wamekudanganya hao kwasababu siri za ndoa huwa zinaishia mlangoni,ukiona mtu yuko kwenye ndoa anaongea hayo basi yeye anayehojiwa na wewe unayehoji mnakuwa na tatizo la utoto na upunguani,so far unawahoji wanandoa style ili kuestablish nini ama unahisi ndoa ni mchezo wa porn? acheni utoto
 
Bado...ila nilikua natoa attachment za research ya ndugu yangu...
 
Staili zingine ni kwa ajili ya michepuko tu. Mke yake ni kifo cha mende.

Mke yeye si anataka mayai azae,sasa hakuna haja ya kumkunja kama wakunjwavyo michepuko!Halafu kuna style ukizitaka kwa wife atakuhisi muhuni.
 
Back
Top Bottom