Jembemtaji
JF-Expert Member
- Aug 21, 2014
- 1,192
- 929
Ni utafiti au umbea? mbona mnachafua kazi za watu.
Unawafuata wake za watu wakupe umbea unakuja uku kusema utafiti.
Unawafuata wake za watu wakupe umbea unakuja uku kusema utafiti.
Staili zingine ni kwa ajili ya michepuko tu. Mke yake ni kifo cha mende.
eeeehhhh hizi story za vijiweni jameni....
mnatutamani sana inavyoelekea...kwani kuoa sh ngapi...si muoe tu jameni
eeeehhhh hizi story za vijiweni jameni....
mnatutamani sana inavyoelekea...kwani kuoa sh ngapi...si muoe tu jameni
wewe wa kwako unamfanyaje?Tafiti zilizofanywa hv karibuni ambapo nilikuwa nawaliza wanawake mmoja mmoja zimeonyesha kwamba Wanawake wengi ambao wako kwenye ndoa wamesema ya kwamba Waume zao wakati wa tendo la ndoa huwa hawawabadilishii style, yaani wamesema kwamba Waume zao huwa ni style moja tu basi halafu mchezo umeisha, kuna wengine hata walisema tangu wameolewa style ya mbwa kachoka ama dog style huwa wanaona picha na kusikia kwa watu tu, lkn waume zao hawajawahi kuwafanyia!
Nilipowaliza ni style gani mmeo hupendelea, wengi walijibu ya kwamba Waume zao wanapenda style ya kulala chali tu yaani yeye (mwanamke) anaangalia dali na mumewe kuwa juu yake, wengi sana kwa kweli wameonyesha kukerwa sana na halii hii sema ndiyo hivyo wafanyeje inabidi tu wavulimie maisha yaende!
Nilipowauliza ni tatizo gani lingine huwakera, wengi walisema kusinyaa kwa uume wa Waume zao wakati bado wao hawajaridhika, wamesema hili ndio namba moja kwa ukeraji!
Naendelea kufanya tafiti na nitaleta Majibu kadiri siku zinavyozidi kwenda ili wote tubadilke na tuweze kufurahia Maisha!
Tafiti zilizofanywa hv karibuni ambapo nilikuwa nawaliza wanawake mmoja mmoja zimeonyesha kwamba Wanawake wengi ambao wako kwenye ndoa wamesema ya kwamba Waume zao wakati wa tendo la ndoa huwa hawawabadilishii style, yaani wamesema kwamba Waume zao huwa ni style moja tu basi halafu mchezo umeisha, kuna wengine hata walisema tangu wameolewa style ya mbwa kachoka ama dog style huwa wanaona picha na kusikia kwa watu tu, lkn waume zao hawajawahi kuwafanyia!
Nilipowaliza ni style gani mmeo hupendelea, wengi walijibu ya kwamba Waume zao wanapenda style ya kulala chali tu yaani yeye (mwanamke) anaangalia dali na mumewe kuwa juu yake, wengi sana kwa kweli wameonyesha kukerwa sana na halii hii sema ndiyo hivyo wafanyeje inabidi tu wavulimie maisha yaende!
Nilipowauliza ni tatizo gani lingine huwakera, wengi walisema kusinyaa kwa uume wa Waume zao wakati bado wao hawajaridhika, wamesema hili ndio namba moja kwa ukeraji!
Naendelea kufanya tafiti na nitaleta Majibu kadiri siku zinavyozidi kwenda ili wote tubadilke na tuweze kufurahia Maisha!
Haaa haaa... tena hapo kwenye hiyo style ya chali itabidi utafiti uboreshwe na kuongeza kuwa hiyo style inasababisha wanawake wengi kunyonyoka nywele uchogoni...
Ngoja kwanza niolewe nadhani nitakuja na majibu sahihi
Ni utafiti au umbea? mbona mnachafua kazi za watu.
Unawafuata wake za watu wakupe umbea unakuja uku kusema utafiti.
hahaha punguza munkari bwana lol
Tafiti za miaka hii.