Raia mpya
JF-Expert Member
- Apr 12, 2022
- 906
- 2,488
Utafiti mpya unaonesha wanaume wengi walio chini ya umri wa miaka 30 ni Hawako kwenye mahusiano ya kimapenz na wengi hawatafuti kabisa,na kwa sasa wanaume wengi wanaishi bila shinikizo la mahusiano wala ndoa sasa kutokana na hilo wanasaikolojia wanasema mwanaume anapokuwa single anapata muda mzuri wa kujijenga,kujipanga kimaisha na kuepukana na migogoro isiyo ya lazima ya kimapenzi pia kwa kuwa hana mpenzi anapata muda mzuri wa kutunza kibunda chake hivyo anakuwa kwenye nafasi nzuri ya kufanikiwa.
Kuwa single haimaanishi kuwa mpweke, ni nafasi nzuri ya kujijenga so itumie vizuri.
Kuwa single haimaanishi kuwa mpweke, ni nafasi nzuri ya kujijenga so itumie vizuri.