Twilumba
JF-Expert Member
- Dec 5, 2010
- 11,541
- 12,401
Zilijitahidi lkn ilibidi kuwa tunachimba dawa mara kwa mara ili kuruhusu ipoe la sivyo inge pasua Engine!Passo za piston tatu zilikuwaje mkuu..??
Zilijitahidi lkn ilibidi kuwa tunachimba dawa mara kwa mara ili kuruhusu ipoe la sivyo inge pasua Engine!Passo za piston tatu zilikuwaje mkuu..??
Yeah ligi kwangu hapana wanaonitegemea ni wengi sanaUshakuwa sahiv hutaki ligi kbsàa njiañ
Hahahaaaa barabarani kuna vurugu nyingi sanaAh mkuu
Wapo wababe wake kwa kweli
Sio kwa ile speed yake
Hapo lazima uwe mpoleYeye na subie alijiona kama yupo na TI carina mbele ya Supra
Wooi. Kwanza siipendi hiyo kitu. Siipendi kabisaa. Hamia mjeruman mkuuTulikuwa tunatembea mwendo wa mbunge 80,100,120 mwisho kiafsa zaidi lkn tulizalilika na tako letu la nyani
Ha ha ha haya mkuuNdio hivyo mamaake tulikuwa na wadosi na famili zao
usilolijua ni kama kiza kineneLigi ni mzuri sana haswa kama mnaelekea sehem moja nimekuja nimekuja na utafiti mdogo hapa kuhus nani alikuwa mbabe road trip kwa mwaka Jana.
Land cruiser kama kawaida yake hana mpinzani huyu mnyama anakimbia jamani hajali tuta wala nini yeye ni mwendo alitutesa sana sisi wakina Harrier sio poa mpinzan wake alikuwa ni Land cruiser mkonge, Prado txl new model, Ranger wild track, Nisan navarra, ndo walikuwa wanawekeana misuli
Kuna huyu volkswagen asee hiki chumba kina ondoka wajameni hii ñdiga ni mashine hatari yeye na BMW X 3,4,5 Hawa walikuwa tishio Sana germany mashine sio poa kwa long trip wanapuli sana very comfortable wakiwa barabaran kuovertake ndo usiombe
Kuna huyu mnyama crown ni ana balaa alitupita pale korogwe hatukumuona tena anapepea jamani hii chuma sio mchezo kimetulia barabaran san alikuwa huyu na mwenzie brevis walitupita hatukuwaona tena
Brevis, Grand Mark II hizi Gari zinakimbia gx100 ni anabalaa brevis alitupita kama tumepark vile wakat sisi tulikuwa tunatembelea 120 wakati huo kipande cha hapo Tanga alituovertake na kumuona akitoweka nikamvulia kofia kwa speed hi kwere nae alikuwa anatesa road.
Mark x nae hakuwa mzembe kuna Alphard walikuwa wanatesa. Hii ndio list ya Gari zilikuwa tishio kwa ligi njiañ kwa mwaka Jana December kwa Trip ya kwenda ukanda wa kaskazini kwa utafiti mdogo wang na kwa mtazamo wangu mm najipanga nivute mnyama athletes crown Simba hiki chuma sema tu kwenye bums ndo wanapoteswa hapo na rough roads tuu ndo hafui dafu
walikuwa na chombo miguu miwili
A very good observation!Baada yakujifunza kwa muda kidogo, nimegundua the only thing that matters is who is behind the wheel
Ukiacha magari yenye 260/240, haya mengine yenye 180 yatatofautiana kuchanganya tuu.. kama dereva mzuri hata ist inaingia kwenye ligi na magari mengi tu ya 180.
Ila kuhusu Passo hapana jamani.
Nilikuwa na kigari kemchwa kemchwa tu. "Opa" gangnam styleUlikuwa na gari gani mkuu Mbona ulikuwa muoga sana kwenye racing
Forester XT ni 180 speed, haina jipya labda iwe ile yenye turboOK ila subie ana wanyonge wake
Kwa hio kwa mfano ukikutaga zile golf gti zenye 300km/h hua unajua zinafika hio top speed sio?Forester XT ni 180 speed, haina jipya labda iwe ile yenye turbo
Ila V8 Jamani ni balaa hasa hizi za serikali hawa madereva wao sijui wanatumia bangi za wapi!!!!
MUNGU akinijaalia nitanunua Toyota fortuner yenye turbocharger hii mashine naikubali sana
Hahahaha!!!!Mkuu jana nilikuona na DUN 50....
X nimetype vibayaBMW S5?