Tafiti ndogo ya ligi ya magari 2020 Desemba kwenda kaskazini ni kama hii

Baada yakujifunza kwa muda kidogo, nimegundua the only thing that matters is who's behind the wheel

Ukiacha magari yenye 260/240, haya mengine yenye 180 yatatofautiana kuchanganya tuu.. kama dereva mzuri hata ist inaingia kwenye ligi na magari mengi tu ya 180.

Ila kuhusu Passo sifahamu jamani..

Hawa wa 260/240 nao hakuna barabara Tanzania wanazoweza kuexercise full potential ya gari kwa angalau dk 5 mfululizo. Huweziendesha kwa 240 kwa dk 5-10 bila kukuta tuta, kivuko cha wanyama, humps, askari wa barabarani, hifadhi wala kona yakukutaka upunguze mpaka hata 80.

Wanaishia kuendesha 160, wananusa extreme (240/260) kwa sekunde 9-23 wanarudi 100-80, ambapo kwa wastani wa safari nzima ni speed 140-160 ambayo ist inatembea vizuri tuu..

"The only thing that matters is who's behind the wheel"
 
Baada yakujifunza kwa muda kidogo, nimegundua the only thing that matters is who is behind the wheel

Ukiacha magari yenye 260/240, haya mengine yenye 180 yatatofautiana kuchanganya tuu.. kama dereva mzuri hata ist inaingia kwenye ligi na magari mengi tu ya 180.

Ila kuhusu Passo hapana jamani.
Bosi kuna magari ukiwa ndani na speed ya 110, unaona mwenyewe roho inaanzakutoka. Ila kuna magari ukiwa 170 unafikiri bado upo kwenye 80
 
Ulipata shida ipi ebu share na sisi hapa tujue nini kilikusibu
Bwana bwana😂😂😂

Wazungu wanavosemaga 0-60 mph in 3 sec au 2.8 secs nilijuaga promo tu hizi
Gari itoke 0- 100kmh in 3 secs kweli?? Haiwezekani...

Ila kwa ule mwendo wa huyo jamaa naanza kuona kama ile nadharia ina kuja hivi ....
Nnachokumbuka sana sana kuna muda aliovertake alphard na coaster mbili kwa mpigo na kuna gari ilikua inakuja.....
Abiria nliekua nae alisema
"Cheki huyu mpuuzi anachofanya watanzania bhana na vigari vyao vya ajabu ajabu wanafikiri wanaweeza kumbe hamna kitu"
Mimi nilikaa kimya nione 2jz ikijiintroduce kwa abiria in action sio kwa maneno ya vijiweni
Baada ya jamaa kuwaovetake na kurudi bila shida yoyote
Abiria alikaa kimya kama amemwagiwa maji😂😂😂
 
Ulipata shida ipi ebu share na sisi hapa tujue nini kilikusibu
Shida inakuja nilitaka sio kuleta ligi nae..hapana nilitaka kukaa japo nyuma yake tu tusindikizane nae...
Napo bado ulikua mziki mgumu
Tushukuru kulikua na magari mengi barabarani maana nilikaa kaa naye kama masaa mawili hivi
Si unajua woga wa tochi tena
Frm dar to moshi
Ila kuna muda akapata upenyo....ka straight kamoja hv hakukua na magari akapotelea mbele huko
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom