Tafiti: Kuanza kutumia oil za magari kwa maendeleo endelevu ya miili yetu

isajorsergio

Platinum Member
Apr 22, 2018
4,125
6,250
Lab moja nchini Tanzania imefikia hatua ya kugundua manufaa yatokanayo na oil ya magari (Iliyo safi au chafu). Moja ya kuwepo tafiti hiyo ni kutokana na madhara ya magonjwa ya ngozi, tatizo sugu la chunusi (pimples) na matatizo ya nywele kupotea au kutokuwa na rotuba.

Pia kuwepo ongezeko la joto na baridi baina ya maeneo tofauti, hali kadhalika mionzi na miale ya jua kwa baadhi ya maeneo inayopelekea uharibifu katika ngozi, ufifiaji wa rangi asilia na mabadiliko katika skin poles.

Tafiti na gunduzi iliyofanyiwa majaribio inaonesha kwa asilimia 75% Oil inaweza kureact kama kiongeza joto iwapo mwilini katika maeneo ya baridi pia kuleta ubaridi katika maeneo ya joto.

Tafiti hiyo ilishirikisha Binadamu 14 wa umri tofauti na asili ya rangi/race tofauti imeweka uwiano sawa wa kuwa njia moja wapo ya kuweza kupambana na mabadiliko ya tabia nchi.

Tafiti imekwenda mbalimbali nakugundua Oil inauwezo wakufinya skin poles au kuzitawanya kutokana na formula na mchanganyo unaokuwa umetumika hivyo kuweza ku-combat tatizo la skin diseases, pimples&acne na skin rashes.

Kwa utafiti huo uliohusisha watu 8 unaonyesha combative module iliyopo ni uwezo wa oil kutawanya radiation, mwanga na miale kama reflector mage.

Pia tafiti inaongeza kuwa utuamiaji wa Oil katika ngozi humfanya mtumiaji kuwa na resistance ya acidic water na wadudu wenye acidity cas pamoja na bacteria wabaya kwa ngozi.

Hali kadhalika inaongeza muambato mgao kwa kuondoa kunyanzi na hairly pillars kwa muda hivyo kukufanya kuwa na ngozi nyororo na yenye kuvutia.

Utafiti unakwenda mbali na kutanabaisha utuamiaji wa Oil husaidia kuondoa na kupambana na Fungus hatari katika ngozi.

Watu 5 kati ya 8 waliofanyiwa majaribio wamedai kuhisi utofauti pale watumiapo Oil katika jua kali na nyakati za baridi. Charles Fernandez anasema "Nitumiapo hii formula yenu wakati wa kiangazi na joto kali sipati tatizo la kutokwa na jasho kama ilivyo kawaida kwangu."

Mwanadada Catherine Paul Shirima anasema "Toka enzi za ukuaji nimesumbuliwa na chunusi zisizokuwa na tiba kila aina ya dawa nimetumia bila mafanikio, hadi nilivyopokea mfumo huu kutoka kwenu. Hii imeniongezea hadi confidence ya kujitawala na kujieleza katika umati."

Tafiti imezidi kuonesha maajabu baada yakudhihirisha usaidizi wa Oil katika nywere kwa ajiri ya ustawi na kupambana na tatizo la kupotea kwa nywere.

Mtaalamu wa uchanganyaji katika isajorsergio Laboratories, Musa Kyoto anasema bado kuna tafiti itabidi kuendelea kuona jinsi gani ya kuepeusha harufu, utelezi na mgando katika Oil kama mapitio ya awali.

Pia uchanganyaji na formula umebaki katika tafiti na confidentiality ya hali ya juu kimaazimio.

Ikumbukwe isajorsergio Laboratories ipo chini ya isajorsergio Medicine Research huku ikiwa chini ya mnyororo wa isajorsergio Corporation.


- Sergi 🐰
 
Ndio maana mafuta yeyote ya mgando lazima ukute amekuandikia oil swali ni jee hiyo oil unaitumia wakati gani
 
Tupeni na side effects za yataokanayo na matumizi ya oili.
Tafiti za awali zinaonyesha watu 2 kati ya 8 mmoja alidai kuhisi mabadiliko katika upumuaji. Huku mwingine akihisi kitopata harufu katika baadhi ya mambo.
 
Hivi hiyo oil ya magari kwa maana vyombo vya Moto huwa inapatikana kwa njia hipi tuanzie hapo kwanza
 
Back
Top Bottom