Extra miles
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 3,754
- 5,175
Huyu ndege si ndo aliyempelekea kipande cha mkate Elia kule nyikani?
Hili ni swali napenda tu kujua tafiti zinasemaje kuhusu ulaji wa nyama ya ndege huyu.
Amekuwa kero kila kona na walio wengi wanajua kero zake sasa sitaki kuzungumzia hilo ila napenda kujua kwa yeyote anayejua kama ulaji wa nyama yake una madhara yoyoye kiafya.
Ikiwa ina madhara kiafya basi tuendelee tu kuikabili adhaa ya ndege huyu, ila kama hana madhara basi tujuzwe tujifarij na nyama yake. Ni hayo tu
Hahaha sawa boss.Haaaa haaa duuu!Mwenyewe nimewahi kula nyama ya kunguru iliniletea hangover ikabidi nile nyama ya bundi kukata hangover ila ya bundi ina kauchungu kwa mbali (nami nimeongeza chumvi kidogo kulipa kisasi)
Hili ni swali napenda tu kujua tafiti zinasemaje kuhusu ulaji wa nyama ya ndege huyu.
Amekuwa kero kila kona na walio wengi wanajua kero zake sasa sitaki kuzungumzia hilo ila napenda kujua kwa yeyote anayejua kama ulaji wa nyama yake una madhara yoyoye kiafya.
Ikiwa ina madhara kiafya basi tuendelee tu kuikabili adhaa ya ndege huyu, ila kama hana madhara basi tujuzwe tujifarij na nyama yake. Ni hayo tu
Hana damu?Nyama ya kunguru ni sumu haifai kuliwa na binadamu. Unajua kunguru hana damu kama ndege wengine.
Kula tu mbona nguruwe ni haramu mnakula ,
Na mnatumia aya za biblia kupotosha kuwa mmeruhusiwa kula kila mnyama na ndege
[/QUOTEh
Haliwi sababu ni miongoni mwa ndege wanaotumia miguu kukamatia chakula chao.
Wanao liwa ni wale tu wanaotumia midomo kukamatia chakula chao.
Wachina hawashindwi kula kitu lakini kunguruMzoga wake hata sisimizi hausogelei ukiona kitu kisicholiwa China jua hicho hakiliwi kweli
Kula tu mbona nguruwe ni haramu mnakula ,
Na mnatumia aya za biblia kupotosha kuwa mmeruhusiwa kula kila mnyama na ndege
kwani kuku na bata wanakula kutoka wapiTabia yake ya kula vitu ovyo tena toka makazi ya binadamu ni rahisi kubeba magonjwa hatari yanayo dhuru binadamu kwa haraka.
Mmakonde sio?[emoji23][emoji23][emoji23]
Ushawahi kuona kuku na bata wakichukua vyupi vya binadamu, bandeji au pamba zilizotumika kwenye madonda ya binadamu?kwani kuku na bata wanakula kutoka wapi
Huyu ndege aliachiwa laana toka enzi zakina Nuhu haliwi huyuTafiti sijafanya wala kufuatilia kuhusu hilo, ila nimekumbuka enzi zangu za uwindaji kuna siku nilimuwinda kunguru nikajaribu kumla, (alikua mtamu kama kware).
Mziki nilioupata ni KIU, nilikunywa maji karibia mto ukauke (nimeongeza chumvi).
Kula tu mbona nguruwe ni haramu mnakula ,
Na mnatumia aya za biblia kupotosha kuwa mmeruhusiwa kula kila mnyama na ndege
Waulize wahusika ,mm nimezungumzia biblia ,ambayo imeweka adhabu kabisa kwa wala nguruwe ,panya na machukizo mengine kama kunguru,MENDE ,mbwa,bata ,konokono ,Pale kwenye Quran mlivyo ambiwa mkiwa jangwani mnaruhusiwa kula napo mlipotoshwa,,[emoji134][emoji848]
unaona sasa unajitungia na mengine.Waulize wahusika ,mm nimezungumzia biblia ,ambayo imeweka adhabu kabisa kwa wala nguruwe ,panya na machukizo mengine kama kunguru,MENDE ,mbwa,bata ,konokono ,
Unajiita mkorintho halafu hujui biblia imekataza kula kunguru, mendeunaona sasa unajitungia na mengine.
mende,kunguru katajwa wapi?