Amigoh
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 2,064
- 3,010
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mzoga wake hata sisimizi hausogelei ukiona kitu kisicholiwa China jua hicho hakiliwi kweli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mzoga wake hata sisimizi hausogelei ukiona kitu kisicholiwa China jua hicho hakiliwi kweli
Kumbi kumbi ni mchwa wa kawaida walioota mabawa. Hata hivyo baada ya kuota mabawa huitwa tu 'termites'.kumbi kumbi pia huli.
Ana radha gani?Mimi nimeshamla zaidi ya maratano
...
Hili ni swali napenda tu kujua tafiti zinasemaje kuhusu ulaji wa nyama ya ndege huyu.
Amekuwa kero kila kona na walio wengi wanajua kero zake sasa sitaki kuzungumzia hilo ila napenda kujua kwa yeyote anayejua kama ulaji wa nyama yake una madhara yoyoye kiafya.
Ikiwa ina madhara kiafya basi tuendelee tu kuikabili adhaa ya ndege huyu, ila kama hana madhara basi tujuzwe tujifarij na nyama yake. Ni hayo tu
Brain StormUshawahi kuona kuku na bata wakichukua vyupi vya binadamu, bandeji au pamba zilizotumika kwenye madonda ya binadamu?
Ushaona kuku chakula chao kikuuu wanyama wenzao tena kwa kuokoteza mizoga?
Kama haujui kunguru ni kundi la scavengers kam a tai(vautures) na fisi(hyenas).
Hujawai kujiuliza kwanini predators wengi hasa wanaokula mizoga hawaliwi na binadamu?
Unadhani sababu nyama yao ina kemikali za sumu? Ni rahisi kuambukiza magonjwa toka kwa wanyama kwenda kwa binadamu na kinyume chake pia sahihi.
Unafikiri kwanini Zoo wanapowapa wanyama nyama ya aina ya ndege kama kuku lazima wachemshe?
Wapi umeambiwa hizo sio dhambi, ? Zote ni dhambi ,mla nguruwe na muongo wote jehanum kwa mujibu wa biblia
Au mwenzetu unabagua dhambi?
Biblia imesema ,uongo, uzinzi, kula nguruwe ni dhambi ,wewe unabagua baadhi
Agano gan hilo limeruhusu mle nguruwe ,sema huelewi maandiko ya mtume paulo
MAANDIKO YA MTUME PAULO WENGI WANAYAPOTOSHA ,NA NDIO SABABU YA WATU KULA KILA UCHAFU ,NA KILA MTU KUFUNGUA KANISA
MAKANISA MENGI UYAONAYO NI SABABU YA KUTOKUJUA AU KUYAPOTOSHA MAANDIKO YA MTUME PAULO
PETRO MTUME HATA YEYE YALIMCHANGANYA SANA AKATOA ONYO HILI
2 PETRO 3
15 Nanyi uhesabuni uvumilivu wa Bwana wetu kuwa ni wokovu, kama vile na ndugu yetu mpenzi Paulo alivyowaandikia kwa hekima aliyopewa;
16 vile vile kama katika nyaraka zake zote pia, akitoa humo habari za mambo hayo; katika nyaraka hizo yamo mambo ambayo ni vigumu kuelewa nayo; na mambo hayo watu wasio na elimu, wasio imara, huyapotoa, kama vile wayapotoavyo na maandiko mengine, kwa uvunjifu wao wenyewe.
Kwani kinachokufa na kuoza tu ndio cha kuliwa?Kunguru hafai kuliwa maana akifa haozi...haliwi yeye na mwenzie bundi...
Kunguru nilishakula Mara moja nikiwa primary.Hili ni swali napenda tu kujua tafiti zinasemaje kuhusu ulaji wa nyama ya ndege huyu.
Amekuwa kero kila kona na walio wengi wanajua kero zake sasa sitaki kuzungumzia hilo ila napenda kujua kwa yeyote anayejua kama ulaji wa nyama yake una madhara yoyoye kiafya.
Ikiwa ina madhara kiafya basi tuendelee tu kuikabili adhaa ya ndege huyu, ila kama hana madhara basi tujuzwe tujifarij na nyama yake. Ni hayo tu
Wapi umesema damu yake siyo kama ya ndehe wengine?Mimi nimesema siyo kama ya ndege wengine. Hata mzoga wake hauliwi na wadudu
...au wapi kwingine?Kisaki ya wapi morogoro au
unajipaka dhahabu eh?Kumbi kumbi ni mchwa wa kawaida walioota mabawa. Hata hivyo baada ya kuota mabawa huitwa tu 'termites'.
Hahaha utaua watu mkuu. Ndege huyo ana sumu mbaya kiasi ambacho pamoja na uchu wa wachina kwa kungulu na fisi wamechemka kuna wachina waliokuwa wanajenga kiwanda cha Dangote waliuziwa nyama za kungulu na fisi waoote waliokula nyama walipoteza maisha.Nimewahi kumla huyo ndege, tafiti zangu zaonyesha yafuatayo.
1. Kuongeza nguvu za kiume
2. Kukata rehemu (cholesterol)
3. Inatoa kibamia na kurefusha
Very simple kunguru wamejaa tele kamata mmoja chinja uangalie.Wapi umesema damu yake siyo kama ya ndehe wengine?
Unabisha au ?mbona mweupe sana wwunajipaka dhahabu eh?
Sasa kama mtaalamu leta maandikoSikiliza wewe...mimi ndo mtaalam. Hujui lolote kuhusu biblia.
Kwani kinachokufa na kuoza tu ndio cha kuliwa?
Unataka akaozee tumboni au?
NdioAkiwa haozi bas haliw