Tafiti juu ya nyama ya kunguru

Tafiti juu ya nyama ya kunguru

Tabia yake ya kula vitu ovyo tena toka makazi ya binadamu ni rahisi kubeba magonjwa hatari yanayo dhuru binadamu kwa haraka.
 
ni kawaida kwa sisimizi kwa binadamu si kawaida hivyo yakupasa ujiulize kwanini sisimizi hasogelei mzoga wa kunguru
Kma ni ivyo mbona panya anaoza na watu hawali
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Ungetangaza tuu ulaji wa nyama ya kunguru ni suluhisho la wenye tatizo la nguvu za kiume. Mbona hao kunguru wangepotea hadi wengine wangetunzwa kwenye jumba la makumbusho
 
Ni kama nyama yoyote tu ya ndege wengine ila makinika na vitu viwili
. kinyesi chake
. nyongo yake
Hakikisha hivi viwili haviigusi nyama ina sumu kali sana
Hili ni swali napenda tu kujua tafiti zinasemaje kuhusu ulaji wa nyama ya ndege huyu.

Amekuwa kero kila kona na walio wengi wanajua kero zake sasa sitaki kuzungumzia hilo ila napenda kujua kwa yeyote anayejua kama ulaji wa nyama yake una madhara yoyoye kiafya.

Ikiwa ina madhara kiafya basi tuendelee tu kuikabili adhaa ya ndege huyu, ila kama hana madhara basi tujuzwe tujifarij na nyama yake. Ni hayo tu
 
Nyama ya Kunguru ni sumu na haliwi na kiumbe yeyote.
 
Ungetangaza tuu ulaji wa nyama ya kunguru ni suluhisho la wenye tatizo la nguvu za kiume. Mbona hao kunguru wangepotea hadi wengine wangetunzwa kwenye jumba la makumbusho

😂😂😂😂😂😂
 
Inaongeza makalio kwa wanawake na kufanya matiti yasimame
 
Back
Top Bottom