Tafakuri yangu juu ya hii report ya CAG

Tafakuri yangu juu ya hii report ya CAG

mcTobby

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Posts
6,631
Reaction score
18,670
Mimi binafsi ninavyoona ,kwa hizi hasara ambazo zimejitokeza katika ripoti ya CAG ni wazi kuwa , pengine ni ile sheria ya kamba inafanya kazi tuiite the rope's law kwamba kila mmoja anakula pale kamba yake ilipofikia kwa sababu walaji wanaamini in the next government (Mungu ajaalie) hawatakuwepo kwenye Pdf.

Hivyo wanaona ni bora "CHUKUA CHAKO MAPEMA" Wewe hujiulizi kwanini deni la taifa linaongezeka? na taasisi n mashirika yaleyale badala ya kupunguza hasara , ndio hasara inaongezeka...

Halafu anajitokeza kigagula mmoja huko anakuja anaropoka baadaye kwamba "Deni la taifa ni stahimilivu na bado tunakopesheka"
20250323_162610.jpg
 
Kazi ya mdhibiti ni ipi? kwanini asidhibiti kabla hazijaliwa? Nini maana ya mdhibiti na mkaguzi wa mahesabu ya serikali?
 
Kazi ya mdhibiti ni ipi? kwanini asidhibiti kabla hazijaliwa? Nini maana ya mdhibiti na mkaguzi wa mahesabu ya serikali?
Sioni kama ofisi yake ipo independent sana. Si unaelewa lakini?
 
Back
Top Bottom