Tafakuri binafsi: Wakati unamhudumia mdada kipesa, ushawahi kutafakari hili

Mfano, wewe mwanaume una hela, Unasukuma gari nzuri kiasi, laki mbili tatu za bata kila wiki hazikupigi chenga, una kazi nzuri na biashara, una nyumba nje ya mji, kibongobongo watu tunaassume umetoboa..

Unakutana na binti maisha yamemchapa, kwasababu unampenda, unamtakatisha kwa kumpa vihuduma vya hapa na pale, shopping za nguo kila mwezi, unasaidia wadogo zake, sometime hadi unasomesha with a view kwamba baadae aje kuwa mkeo..

Ushawahi jiuliza kama mngebadilishana nafasi za kiuchumi, wewe uwe kapuku na yeye awe anaendesha Gari halafu mkutane njiani, je huyo mdada unaemuhudumia, angekuangalia mara mbili? angeshtuka hata kujua amepishana na mwanaume?

Mke wa gsm angekuwa na hela kama za mumewe, angemfanyia birthday party huyo mumewe?

Naamini mwanaume ni Primary provider wa familia, na anatakiwa ahudumie mke, ila nimewaza tu..

Nimegundua mtu ukitumia logic, ku-enjoy mahusiano ni ngumu
Jambo LA kawaida, wanaume wameumbwa kutoa,sio kupokea, hata kibaiolojia, wanaume ni kuweka, kutoa, wanawake kupokea, haya maswala ya kutamani kuchukua nafasi yq wanawake, yanatia kinyaa
 
Kwakweli, mwanamke mpe pesa then Pata starehee na songa mbele...ila kuna wanawake chuma kwelikweli...wanajali hatari.
 
Back
Top Bottom