Tafakari na Kipanya

Tafakari na Kipanya

GTA

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2013
Posts
878
Reaction score
653
KPJULAI302017.jpg

Ndodosha tafakari yako
 
Big up kwa Masoud Kipanya Jamaa anaspire vijana wengi katika kazi zake.

Kulingana na picha ni kweli kabisa tabia hii ipo miongoni mwa askari zetu na kwa namna flani inashusha ari ya uzalendo ila tutafika tu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna afande mmoja yupo kituo cha polisi mkutano sumbawanga laela huko kwa kabila mkulya yule ni noma. Aliwahi niweka masaa sita bila majibu.
Juzi tu amegombana live na dereva wa basi aliyegoma kuondoa gari hadi apewe risiti lakini yule askari akadai lisiti hana huku akijua asipotoa risiti ile pesa haiendi serikalini.
Ukweli faini barabarani ni mgawanyo wa mapato kwa askari na serikali. Mulikeni upande huu jamani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kibonzo askari anakitambi majirani zake wanasema inawezekana ni traffic siku hizi.
 
Kwa staili hii lazima wanyonge wajenge viwanda weeee mpk wachoke.
 
Back
Top Bottom