Tafakari hii picha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tafakari hii picha

Discussion in 'Jamii Photos' started by hashycool, Oct 20, 2010.

 1. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #1
  Oct 20, 2010
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  Tafakari

  [​IMG]
   
 2. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #2
  Oct 20, 2010
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  kila kitu na wakati wake

  mzee mwinyi anasema kila zama na kitabu chake
   
 3. JOYCE PAUL

  JOYCE PAUL JF-Expert Member

  #3
  Oct 20, 2010
  Joined: Jan 8, 2010
  Messages: 1,007
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  yaliyopita si ndwele tugange yajayoo
   
 4. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #4
  Oct 20, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Maana yake hakuna mlinganisho. Huwezi linganisha Kikwete na JKN kwa namna yoyote ile. ukiwalinganisha ni kama kufanya matusi tu. Huyu Kikwete ni kiongozi wa ovyo ovyo tu na hata JKN aliliona hilo na hata aliposema hatakiwi ikulu huyu bwana alikuwa anamfahamu vizuri.
  Watanzania tuliliwa mwaka 2005 na sasa hatufanyi kosa tena.
  CHAGUA DR SLAA KWA MAENDELEO YA NCHI HII. UKICHAGUA SISI MAFISADI NI SAWA NA KUITELEKEZA MIKONONI MWA MANYANG'AU NCHI YETU HII.
   
 5. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #5
  Oct 20, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  Madrasa al sul tayari.

  Ngoja nisepe mie!!
   
 6. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #6
  Oct 20, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,470
  Likes Received: 5,852
  Trophy Points: 280
  Mjima na Mjinga
   
 7. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #7
  Oct 20, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,696
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 8. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #8
  Oct 20, 2010
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,576
  Likes Received: 1,673
  Trophy Points: 280
  Una maanisha nini? Enzi hizo akukua na mikeka?
   
 9. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #9
  Oct 20, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Ilikuwepo tena kwa wingi, na ndio vilikuwa vitanda!
   
 10. Kobe

  Kobe JF-Expert Member

  #10
  Oct 20, 2010
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 1,756
  Likes Received: 361
  Trophy Points: 180
  JKN=Mchapakazi JK=mchapa maneno.
   
 11. Butterfly

  Butterfly Senior Member

  #11
  Oct 20, 2010
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 126
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  JKN ==> Ngoja niwasaidie wananchi wangu kuwaonyesha kuwa "siasa ni kilimo"
  JMK==> Dah hapa nitachafuka sasa hivi, we mpiga picha hebu fanya haraka nataka kuinuka alaa!!!!
   
 12. d

  dotto JF-Expert Member

  #12
  Oct 20, 2010
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  ... yaelekea hata kuchota udongo kidogo atumia nguvu za ziada...... Angalia kwa makini hiyo picha..
   
 13. minda

  minda JF-Expert Member

  #13
  Oct 20, 2010
  Joined: Oct 2, 2009
  Messages: 1,070
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  mzee is acting the real life situation; kijana is performing a role-play.
   
 14. Butterfly

  Butterfly Senior Member

  #14
  Oct 20, 2010
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 126
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [​IMG]

  Masikini kijana wa watu yupo "siriaz" while the guy is never serious haaa!!!
   
Loading...