Waungwana tukivuliwa nguo huchutama,..Na hili wanawake hawalitaki hata kuskia.... wakati wenyewe wanaona.
KubwaaaaaNimchape na fimbo ipiii?
Unavyoongea kama mtu vile!!!Na hili wanawake hawalitaki hata kuskia.... wakati wenyewe wanaona.
Mi nataka pesa.Wewe mwenyewe unatia huruma acha niendelee kukupa.
1. Kusukuma DamuEheee, majukumu yepi hayo?
Mfyuuuu😂😂😂ngoja akuchape na lifimbo lake la kizee...nimekuthemea kwa babu etuAm soleee![]()
Babu hana madhara, hata mtori tu hawezi kunywa.Mfyuuuungoja akuchape na lifimbo lake la kizee...nimekuthemea kwa babu etu
Hao waliotangulia si majiniaz. Majiniaz tulikuwa nao kwenye mahesabuWewe ushawachelewesha...wenzao tayari washaanza topic ya kwanza.
Oooh!1. Kusukuma Damu
2. Kupenda
3. Kuchukia
4. Kuthamini, kukarimu.
Kunivua nn???hahahKwa nishakuvua?
Uliuonja????😂😂😂Babu hana madhara, hata mtori tu hawezi kunywa.