Tafakari chukua hatua.

Ukiwa na 1000 ni pesa yako.

Ukiwa na laki 500000 ni pesa hako.

Ila unapokuwa na milioni mia, mitano...sio pesa yako.

Ila jamii imekuamini unaweza kuishikia pesa na kuitumia kwa ufasaha zaidi kuinufaisha...

Iheshimu pesa...chukua hatua.
We unapiga mahesabu tu badala utafute pesa unitumie.
Chukua hatua.
 
Back
Top Bottom