Daah itakuwa ni mwalimu wewe,umepangiwa kule ndani ndani bush..Dah,.sijui hata kinachoendelea sasahivi kwenye hiyo tasnia😔😔huku niliko mazingira sio rafiki kabisaaa na vitu hivyo,.
Hatua??nimevunja sheria??😓😓Usichelewe sasa...maana nawe nitakuchukulia hatua soon.
Hahahahha bora hata ningekuwa mwalimu tajiri..niko mahali nawinda panya,.acha tuu...Daah itakuwa ni mwalimu wewe,umepangiwa kule ndani ndani bush..
😆😆 Natania lakini
Ooooppsss🤐🤐Unaendelea kuzivunja.
Kila la kheriHaya
FungukaHapana,hatuangalii sex tuu...kuna zaidi ya "sex"
Ndio umeamua kunitisha sio!!Your days are numbered.
Many manyWell, who are those "espys" you call "We"

Mkuu huwa una juhudi kweli za kugawa likes.Funguka
Hakuna kitu kitamu kwenye mahusiano kama pesa za mwanaume. Aisee mtupatiage tu.Hahaha.
Money.Love
Affection
Care
TIME
Discussions....et cetera