Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,682
- 45,597
Akuuu kwanza anavyoilalamikia januari si ntachomeshwa mahindi mm...Usimuangushe babu nenda PM bana
Ntaenda April..
Akuuu kwanza anavyoilalamikia januari si ntachomeshwa mahindi mm...Usimuangushe babu nenda PM bana
Muwaulize na baba zenu waliishije na mama zenu. Walikuwa wakirudi wanaimba kwa sautiii ali aliepo asepe mapema asije kufanya mambo yakawa mengi.
Tukiwahurumia sisi wa ndani mwenu nyie mnaenda nje kuendeleza disemba yenu,.





Haya April utakuta maboga yashaivaAkuuu kwanza anavyoilalamikia januari si ntachomeshwa mahindi mm...
Ntaenda April..
Hahaha au anatumwa mtoto kupeleka mboga kwanza...ili mama aweke sawa mazingiraMuwaulize na baba zenu waliishije na mama zenu. Walikuwa wakirudi wanaimba kwa sautiii ali aliepo asepe mapema asije kufanya mambo yakawa mengi.
mmhh...walaji sasa tutakavyokuwa wengiiii hata sitafaidi.Haya April utakuta maboga yashaiva
Ndio hivyo, kwahiyo wasijisahaulishe wakafikiri linatuhusu sisi tu. Nao wawe wapole tu.Hahaha au anatumwa mtoto kupeleka mboga kwanza...ili mama aweke sawa mazingira
Wanaume wa zamani full kujitambua.Wanawake wa zamani full adabu hata kilabu cha pombe hakanyagi, dukani anatuma watoto
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora january sasa maana watu ni wachache kwa ugumu wa januarymmhh...walaji sasa tutakavyokuwa wengiiii hata sitafaidi.
Hawajui "ukiniona umeula ujue naww umeliwa" DabyNdio hivyo, kwahiyo wasijisahaulishe wakafikiri linatuhusu sisi tu. Nao wawe wapole tu.
Ila maboga no,..Bora january sasa maana watu ni wachache kwa ugumu wa january
MmmhhIla maboga no,..
Kuna ubaya?Kwahiyo mm bibi???
Tufanyeje sasa? Ndo ugonjwa wetuTukiwahurumia sisi wa ndani mwenu nyie mnaenda nje kuendeleza disemba yenu,.
Ugonjwa wa kujitakiaTufanyeje sasa? Ndo ugonjwa wetu
Ndiooo😐😐Kuna ubaya?
shindwaaaaaHakuna kitu kitamu kwenye mahusiano kama pesa za mwanaume. Aisee mtupatiage tu.
Aaah kabisa.
Alafu ndio nini kubadilika kimya kimya!!!
Mie nikajua member mpya!!!!
Kila la kheri