kamikaze
JF-Expert Member
- Jan 25, 2011
- 439
- 649
Wana jf nimekutana na hii documentary ya aljazeera inayohusu kampuni ya china inayojihusisha na utengenezaji wa dawa kwa jina la TIANSHE, naomba uangalie magumashi wanayoyafanya yawezekana yanatokea au yatatokea kwetu hapa Tanzania, tuwe makini na wizara husika ifuatilie kwa karibu watu wanaofanya biashara zinazofanana na hizi.