Kijukuu cha ngoyayi
JF-Expert Member
- Oct 27, 2018
- 3,374
- 6,701
Shibe huleta kiburi
Nb. Hoja haipigwi rungu
Nb. Hoja haipigwi rungu
Hebu mjibu kwa ufahamu wako wewe, ambaye umeingia aidha mskitini au kanisani, ndio maana kaleta hoja hapa mezani.Hakuna hoja hapa hata mtoto wa darasa la nne ana majibu, aende kanisani au msikitini kama alikimbia shule. aache kushinda bar.
Unapokelew ulivyokuja. Hiyo title imeandikwa na mshirikina mmoja alozoea kuwanga maisha yake yote na hana mpango kubadilika. Kwanini tupoteze muda kushindana.Hebu mjibu kwa ufahamu wako wewe, ambaye umeingia aidha mskitini au kanisani, ndio maana kaleta hoja hapa mezani.
Kwani shida nini?
Maswali yako ni magumu.Ajibi@BICHWAKOMWESwali langu kwenu linahitaji sana kibu tafadhali mnijibu hasa sisi watu weusi ndio nawalenga humu kama wewe ni mzungu au mwarabu pita hivi Uzi hatukai na kama wewe ni shoga pita kushoto usitie neno hapa.🥺
Tunaanza na mada hivi kwanini hakuna mtume au nabii mweusi aliezungumziwa kwenye vitabu vitakatifu iwe biblia au Quran
Je sisi watu weusi hatufai kuwa manabii au sisi watu weusi tulichelewa kuumbwa au sisi watu weusi mungu aliamua tuwe watu wa kawaida na bendera fata upepo.. naomba kuwakilisha sema chochote hakuna kitu kinaitwa kufuru na sio kweli kuwa mungu anaweza kuwachoma moto watoto wake wa kuwaumba yeye mwenyewe
Poleeee!! Unashindana na nani? 😂😂😂Unapokelew ulivyokuja. Hiyo title imeandikwa na mshirikina mmoja alozoea kuwanga maisha yake yote na hana mpango kubadilika. Kwanini tupoteze muda kushindana.
Hatushindani tunaeleza tu kuwa hakuna hoja yakujibiwaPoleeee!! Unashindana na nani? 😂😂😂
😂😂😂 mtajuana wee na huyo mleta mada, mie nilimuitia watu wake aliowahitaji wampe ufafanuzi.Hatushindani tunaeleza tu kuwa hakuna hoja yakujibiwa
Ndo tushakuja na Ufafanuzi hakuna.😂😂😂 mtajuana wee na huyo mleta mada, mie nilimuitia watu wake aliowahitaji wampe ufafanuzi.
SawaNdo tushakuja na Ufafanuzi hakuna.
Huyu hafai kupewa haya maelezo, ni kumtwanga mishit mpaka uchukieWana wa Israel, ni weusi... Sasa sijajua anazungumzia weusi upi? Au hujui kama sisi ndo wana wa israel wenyewe!! ile nchi inakaliwa na wahamiaji tuu...
Unafikri kwann wazazi wa YESU walikimbilia Misri kujificha wakati amri ilipotoka watoto wauawe 😅😅.
Mbantu ndo Mwana israel,
Na makabila kumi na mbili yake..
.....
😅😅😛😅😅😛😅😛😅
Hahaha ,mtoto wa makeda, King menelik 1 ebna hakim, ni watoto wa King solomoni , hivyo upo sawa.Wana wa Israel, ni weusi... Sasa sijajua anazunwgumzia weusi upi? Au hujui kama sisi ndo wana wa israel wenyewe!! ile nchi inakaliwa na wahamiaji tuu...
Unafikri kwann wazazi wa YESU walikimbilia Misri kujificha wakati amri ilipotoka watoto wauawe 😅😅.
Mbantu ndo Mwana israel,
Na makabila kumi na mbili yake..
.....
😅😅😛😅😅😛😅😛😅
Sasa kama unazungumzia dini zenu za asili mashoga wameingiaje?Shangaa na wewe kwani sisi watu weusi tuna shida gani. Ukiwaambia dini Zina miyeyusho hawataki ajabu ni kwamba tumepoteza Kila dini zetu za asili
Fatilia asili za hao manabii na mitume baadhi ni asili ya AfrikaSwali langu kwenu linahitaji sana kibu tafadhali mnijibu hasa sisi watu weusi ndio nawalenga humu kama wewe ni mzungu au mwarabu pita hivi Uzi hatukai na kama wewe ni shoga pita kushoto usitie neno hapa.🥺
Tunaanza na mada hivi kwanini hakuna mtume au nabii mweusi aliezungumziwa kwenye vitabu vitakatifu iwe biblia au Quran
Je sisi watu weusi hatufai kuwa manabii au sisi watu weusi tulichelewa kuumbwa au sisi watu weusi mungu aliamua tuwe watu wa kawaida na bendera fata upepo.. naomba kuwakilisha sema chochote hakuna kitu kinaitwa kufuru na sio kweli kuwa mungu anaweza kuwachoma moto watoto wake wa kuwaumba yeye mwenyewe
Mimi mkristo sijajua rangi za watu zilikujaje ama zilianza lini ila jibu langu ni hiliSwali langu kwenu linahitaji sana kibu tafadhali mnijibu hasa sisi watu weusi ndio nawalenga humu kama wewe ni mzungu au mwarabu pita hivi Uzi hatukai na kama wewe ni shoga pita kushoto usitie neno hapa.🥺