Tafadhali wanawake msiwe mnanyoa Kabisa, Mnajidhalilisha

Tafadhali wanawake msiwe mnanyoa Kabisa, Mnajidhalilisha

Kumbee kunyoa papuchii yaani nimechukua mda kuelewa mie keylazer ila bora azipunguze kias
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] huku ukiwa na stress lazima ziishe tu
 
Usishtuke mrembo,hizo ni nywele tu kama za kichwani,usijitie pressure bure mrembo,wewe soma tu kilichoandikwa na ukiona kuna manufaa unaenda na wakati,ukiona zengwe unatupilia mbali kule.
ulifkili bas nitamfatisha uyo mtoa mada na kichaka chake
 
Aisee kweli tuko tofauti yani nikae na huo uchafu kwa miaka miwili?
 
dah inainekana wewe ni muwindaji maana sio kwa kauli hii ya kizazi cha singeli
 
Mleta uzi naona kale.ka kinywaji kanakoitwa watashindana nami lkn hawatashinda kameanza kukukolea huko uliko aisehh!
 
Back
Top Bottom