bishontongo
JF-Expert Member
- Nov 3, 2016
- 239
- 223
Nimeipenda hii.Kwa pumba hizi bora jf ifungwe [emoji121][emoji121][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Nimeipenda hii.Kwa pumba hizi bora jf ifungwe [emoji121][emoji121][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
FactKwa fikra hizi za wananchi haishangazi kuona CCM wakiwa na uhakika wa kubaki madarakani.........
Vitaimana za siku?Valuu ukichanganya na safari zina madhara jamani.
Shunie vipi mbona umeshtuka?aisee
Habarini Wadau,
Kuna jambo linaumiza sana. Hivi kwanini Wanawake mnapenda kuzinyoa zile nywele?
Ili iweje labda? Kama mwanamke anajiheshimu na kujitambua hawezi kukubali kunyoa hovyo hovyo mpaka anabakia kipara kama mtoto mdogo asiyevunja ungo bado.
Kwakweli inapendeza sana mkiziacha ziwe nyingi na kustawi ziwezavyo. Kwani hakuna chana madukani?
Mimi za mke wangu ikifika Christmas zinatimiza miaka miwili sasa na miezi minne hadi raha.
Nimemwambia siku akizinyoa nampa na talaka hapo hapo Wallah billah,
Yaani inaleta raha sanaaa wakati wa kuzifunua kwa mikono miwili ndio ukute kile kidude.
Kunyoa ni kiherehere na kuigaiga ujinga. Eti mnajidai usafi...kwani huwezi kufanya usafi zikiwa refuuuu haswa.
Tafadhali wanawake msinyoe.
Msitake laana.
Please n Please.
Heri ya Christmas,
Usishtuke mrembo,hizo ni nywele tu kama za kichwani,usijitie pressure bure mrembo,wewe soma tu kilichoandikwa na ukiona kuna manufaa unaenda na wakati,ukiona zengwe unatupilia mbali kule.aisee
Viawanda vya kufyatua watoto naonaLabda pengine hukumuelewa mheshimiwa......
Alimaanisha viwanda vingine......
Viawanda vya kufyatua watoto naona
Safi aiseee umepotea! Au ndio funika kombe?Vitaimana za siku?
Sijapotea mrembo,nilikula ban za kutosha sababu ya kushobokea maanti wa JF,sasa nimekoma sirudii a nimerejea Kanisani mamii.Safi aiseee umepotea! Au ndio funika kombe?
Hicho nacho kiwanda cha kutengeneza maneno na vijimambo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tanzania ya Viwanda
Ha ha pole saana badilisha Technic ban ikuepuke!Sijapotea mrembo,nilikula ban za kutosha sababu ya kushobokea maanti wa JF,sasa nimekoma sirudii a nimerejea Kanisani mamii.
Mrembo,itabidi unipe hayo matecnic ili ban iniepuke,maana hali nitete.Ha ha pole saana badilisha Technic ban ikuepuke!
Ha ha ha! sasa hivi ban sio issue issue ni iyo nyingine iyoooMrembo,itabidi unipe hayo matecnic ili ban iniepuke,maana hali nitete.