be unique
JF-Expert Member
- Oct 12, 2016
- 2,381
- 2,293
Naona wameona tunafaidi sana.Halafu policcm wanataka watufungie jf yetu...aaa aaa tutaandamana mpaka ikulu
Naona wameona tunafaidi sana.Halafu policcm wanataka watufungie jf yetu...aaa aaa tutaandamana mpaka ikulu
Hivi kitabu chako kimekosekana kabisa kiapo...!?Habarini Wadau,
Kuna jambo linaumiza sana. Hivi kwanini Wanawake mnapenda kuzinyoa zile nywele?
Ili iweje labda? Kama mwanamke anajiheshimu na kujitambua hawezi kukubali kunyoa hovyo hovyo mpaka anabakia kipara kama mtoto mdogo asiyevunja ungo bado.
Kwakweli inapendeza sana mkiziacha ziwe nyingi na kustawi ziwezavyo. Kwani hakuna chana madukani?
Mimi za mke wangu ikifika Christmas zinatimiza miaka miwili sasa na miezi minne hadi raha.
Nimemwambia siku akizinyoa nampa na talaka hapo hapo Wallah billah,
Yaani inaleta raha sanaaa wakati wa kuzifunua kwa mikono miwili ndio ukute kile kidude.
Kunyoa ni kiherehere na kuigaiga ujinga. Eti mnajidai usafi...kwani huwezi kufanya usafi zikiwa refuuuu haswa.
Tafadhali wanawake msinyoe.
Msitake laana.
Please n Please.
Heri ya Christmas,
Huyu daily UTI hazimpigi chenga
Saingine ni ngumu kuamini kuwa humu Jf ni "Home of great thinkers"
Haaaaaaaaah haaaaaaaaah mbavu zangu jamani!!!Huwa zinafika mahali zinakera bwanaaa hasa ukienda sayarini ni balaa tupu.
Halafu punguza kuchepuka hao ulowaona wamenyoa dongo ulikutana nao wapi, tulia na mkeo na kichaka chenuu
polisi hawana mamlaka hayo..mkuu.....Halafu policcm wanataka watufungie jf yetu...aaa aaa tutaandamana mpaka ikulu
Acha kujitoa fahamu... yaani kitabu chako hukijui..!? ilhali hapo katika thread yako umetumia kiapo cha kitabu kingineKitabu changu kipi?
Ni vyema muhamie jukwaa husika, hapa si jukwaa sahihi kwa mjadala huu.Acha kujitoa fahamu... yaani kitabu chako hukijui..!? ilhali hapo katika thread yako umetumia kiapo cha kitabu kingine