Tafadhali wakuu,Nipate wapi part time job niweze kumudu ada?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tafadhali wakuu,Nipate wapi part time job niweze kumudu ada??

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by mtata mtatuzi, Aug 4, 2011.

 1. m

  mtata mtatuzi Member

  #1
  Aug 4, 2011
  Joined: Jul 29, 2011
  Messages: 44
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Hamjambo wakuu!ni post yangu ya kwanza kabisa humu JF.naelekea mwaka wangu wa 3 wa shahada ya pROCUREMENT AND LOGISTICS MANAGEMENT.huenda nisimalize vema kwa kukosa ada.nahtaji kufanya part time hapa Dar itayonisaidia kwa hili.NIAPDET via mtatam@yahoo.com hapa JF ni mgeni wandugu.
   
 2. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #2
  Aug 4, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  C bodi ya mikopo ipo au?
   
 3. m

  mtata mtatuzi Member

  #3
  Aug 4, 2011
  Joined: Jul 29, 2011
  Messages: 44
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Sifadhiliwi na BODI.Nilianza under pryvet sponsorship,sasa thngz r turning UPSYD DOWN.
   
 4. M

  Mtized one Member

  #4
  Aug 5, 2011
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sawa mdogo wangu hizo nichangamoto...nivizuri hujakata tamaa.. Kwakuanzia kwakua upo DSM fika ofisi za Bayport,adjacent an Airtel pale moroco kuna nafasi za loan consultants which you can do in your part time.Muulizie mtu anaitwa Robert.
   
 5. m

  mtata mtatuzi Member

  #5
  Aug 7, 2011
  Joined: Jul 29, 2011
  Messages: 44
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  asante mtized one.lakin who z ths robert in particular?nicje enda kichwa kichwa...
   
 6. M

  Mtized one Member

  #6
  Aug 7, 2011
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />
  we nenda mwambie unhitaji kuwa loan consultant....
   
 7. a

  amaketa New Member

  #7
  Aug 7, 2011
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kaka omba temple utapata tuu na mtangulize mungu kwenye maombi!
   
 8. S

  Stany JF-Expert Member

  #8
  Aug 7, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 278
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Kaka pole sana na hali hii.Hili ni tatizo sugu kwa wasomi wengi wa elimu ya juu,.. Usikate tamaa iko siku yatakwisha.
   
 9. m

  mtata mtatuzi Member

  #9
  Aug 7, 2011
  Joined: Jul 29, 2011
  Messages: 44
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  loan consultant...
   
Loading...